Search results

  1. Herbert Nkuluzi

    Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

    Anaweza kuja kweli maana kwa mishahara ya Uto hahaha wanacheza basi tu
  2. Herbert Nkuluzi

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Wapitisha mchakato ni wanachama au watu wa vijiweni? kama ni wanachama Mo is the winner
  3. Herbert Nkuluzi

    Simba inaangamia roho inauma

    Hawa ni wapuuzi
  4. Herbert Nkuluzi

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Yesu alitambua wahuni kama hawa watatokea akaweka statement ambayo unataka ni hivyo hutaki ni hivyo nayo ni hii:- 👇 9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini. Mathayo 19:9 10 Wanafunzi...
  5. Herbert Nkuluzi

    Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

    Hata Chelsea ilifunguka mechi ya fainali ilipaki zaidi kwa Barca tu
  6. Herbert Nkuluzi

    Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Yote ni ili maneno ya Yesu yatimie aliposema 43 Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo. Yohana 5:43 Wameaminishwa uongo na wameukubali 100%
  7. Herbert Nkuluzi

    Uongozi wa Simba ujiuzulu haraka sana

    Tena mjinga wa kiwango cha juu ajabu
  8. Herbert Nkuluzi

    Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

    Huu ndiyo ukweli mchungu kwamba kama ushatembea na wanawake 10 huenda mmoja alikuwa victim ila wewe umetoboa. Kwa uhalisia mtu akigundulika ana HIV ni vema ahakikishe anawalinda wengine wasipate maambukizi kwa kutumia dawa vema au kwa kuhakikisha anasisitiza safe sex all the time.Taifa ni letu...
  9. Herbert Nkuluzi

    Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

    Hiki ndicho ninachokiamini pia na nadhani mtu akipimwa akakutwa ana HIV anapaswa awe mwungwana kwa kuhakikisha anawalinda wengine wote dhidi ya maambukizi maana
  10. Herbert Nkuluzi

    Je huu ni utapeli kwa hisani ya Serikali?

    Sijawahi kukopa mtaani ila kwa uhalisia riba zosizo na mrengo wa kumsaidia mtu ni chanzo cha taifa kupoteza kodi nyingi kwa kuwa anayekopeshwa akifeli kulipa akapoteza mali zake vilevile maana yake biashara imekufa na kodi na ushuri navyo vimepotea kwa serikali. Umaskini hautaondoshwa haraka...
  11. Herbert Nkuluzi

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Yaani milion 7 faida ya 70 elfu kwa mwezi kweli maisha ni kuchagua hii ni pesa ambayo naingiza kwa siku na mtaji haufiki hata huo wa mil 7
  12. Herbert Nkuluzi

    Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    Kucheza sehemu ni maamuzi ya mtu Rejea Messi
  13. Herbert Nkuluzi

    Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    Yaani nitakuwa chizi kupiga kura hapa Yaani ni sawa na Messi kumlinganisha na Mbape ni utoto uliotukuka. CHAMA Kathibitisha ubora hadi CAF wanamtambua kama among top scorers of all time.Anayinganishwa sharti athibitishe ubora zaidi ya hapo au kufikia hapo
  14. Herbert Nkuluzi

    Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    😀😀😀😀 Pacome anahitajika na timu ipi kubwa?au Yanga ni kubwa sio?
  15. Herbert Nkuluzi

    Tetesi: Mayele kwenda Simba, Chama kwenda Yanga

    Kaka alidrop kiwango mwenyewe usizingizie timu Na Pia Kama kafika na Ronaldo wote wakiwa mastar wakubwa tu kwa nini Ronaldo alipaa zaidi Kaka akadrop?
Back
Top Bottom