Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 698
- 877
Itakuwa Dunia ya Msimbazi
Dunia???? Dunia gani hiyo au Kuna nyingine tofauti na hii!!!!
Dunia???? Dunia gani hiyo au Kuna nyingine tofauti na hii!!!!
Mada iishie hapaWakati hiyo Pa Komwe analima viazi huko kijijini kwao tayari Chama alishatengeneza jina Afrika na dunia nzima.
Ameibuka huko pa komwe zuzu ambae hata haeleweke kama ana consistency au ndio one season wonder mmeanza kupiga kelele kutala kufananisha huo utopolo na Chama.
Wakati hiyo Pa Komwe analima viazi huko kijijini kwao tayari Chama alishatengeneza jina Afrika na dunia nzima.
😀😀😀😀Africa ya wapi hiyo wakati Chama ni jogoo wa shamba asiyewika mjini. Hakuna hata klabu kubwa yoyote iliyowahi hata kuhusishwa na kumuhitaji Chama. Kaenda Berkane kachemka karudi hapa hapa bongo.
Subiri michuano ya klabu bingwa iishe halafu tutakuwa mashuhuda kama atacheza Yanga hadi uzeeni mwake.
Pacome anahitajika na timu ipi kubwa?au Yanga ni kubwa sio?
Kucheza sehemu ni maamuzi ya mtuSubiri michuano ya klabu bingwa iishe halafu tutakuwa mashuhuda kama atacheza Yanga hadi uzeeni mwake.
Chama kawa na muendelezo mzuri kwa Zaid ya misimu mitatu mfululizo, Pacome ndo kwanza msimu wake wa kwanza hapa bongo halafu unamringanisha na Chama
Kutokana na ubishi mwingi kuhusu hawa viungo tupige kura kati Chama na Pacome nani bora zaidi.
Mwenye kura nyingi ndo chaguo la wengi tumalize ubishi humu JF
Kweli kabisaYaani nitakuwa chizi kupiga kura hapa
Yaani ni sawa na Messi kumlinganisha na Mbape ni utoto uliotukuka.
CHAMA Kathibitisha ubora hadi CAF wanamtambua kama among top scorers of all time.Anayinganishwa sharti athibitishe ubora zaidi ya hapo au kufikia hapo
Usitishike na hii sisi ndo watizamaji tunasema Chama ni bora kuliko Pacome
Messi alikuwa kwenye timu kubwa, Barcelona walukuwa wa moto sana na alikuwa analipwa mshahara mkubwa. Sasa ulitegemea Messi ahame Barcelona kwenda timu ndogo? Messi vilabu vingi vilimuhitaji ila alikataa. Sasa niambie tokea Chama aje Simba kuna vilabu vipi vilivyomuhitaji? Toka aje bongo katoka kaenda Berkane kukamshinda akarudi bongo.Kucheza sehemu ni maamuzi ya mtu
Rejea Messi
Katika hizo timu ulizotaja nambie timu gani inayomuhitaji pacomeMessi alikuwa kwenye timu kubwa, Barcelona walukuwa wa moto sana na alikuwa analipwa mshahara mkubwa. Sasa ulitegemea Messi ahame Barcelona kwenda timu ndogo? Messi vilabu vingi vilimuhitaji ila alikataa. Sasa niambie tokea Chama aje Simba kuna vilabu vipi vilivyomuhitaji? Toka aje bongo katoka kaenda Berkane kukamshinda akarudi bongo.
Mwanamke kama nje hakuna hata mwanaume anayeshoboka nae kumuhitaji ujue hashawishi. Ukisikia tetesi za Chama basi atahusishwa na Yanga pekee. Sio Mamelod, Al Ahly, Wydad, n.k.
Pacome ndio msimu wake wa kwanza kucheza klabu bingwa hatua ya makundi hivyo tuupe muda uwe hakimu, wakati mmoja anatamatisha safari yake mwingine ndio anaanzisha safari yake.Katika hizo timu ulizotaja nambie timu gani inayomuhitaji pacome
Hapo umemaliza kuwa hao watu hawapaswi kulinganishwaPacome ndio msimu wake wa kwanza kucheza klabu bingwa hatua ya makundi hivyo tuupe muda uwe hakimu, wakati mmoja anatamatisha safari yake mwingine ndio anaanzisha safari yake.
Mnayemtazama kasema AUsitishike na hii sisi ndo watizamaji tunasema Chama ni bora kuliko Pacome