Tetesi: Mayele kwenda Simba, Chama kwenda Yanga

Haya ni maoni yako na hayana uhalisia wowote, Chama akiachana na Simba leo hii Yanga watamkimbilia mbio mbio na kumsajili kwa mbwembwe za kiwango cha juu
so,hayo maoni yako yana uhalisia gani?
injinia hawezi kutupa pesa yake kwa chama...tangu arudi kwenu toka berkane kafeli pakubwa tu,aende ihefu
 
Tuna ongelea Messi hapa? kwa hio Chama ni Messi?
kwani ambacho hujamuela jamaa Ni kitu Gani kwenye Mfano wake anamanisha Messi pamoja na kwamba hakabi ila kwenye ku attack anakupafaida kubwa sana kwenye kushambulia kuliko huyo Kai ambaye anakaba na Kushambulia Ndio ata kwa Chama hakabi ila kwenye kushambulia ana Namba kubwa kwenye kutengeneza Nafas Na Kufunga kuliko huyo Mudathir anayekaba na kushambulia kamaa utaendelea kubisha tutakuletea takwimu apa.
 
Kaka alidrop kiwango mwenyewe usizingizie timu
Na Pia Kama kafika na Ronaldo wote wakiwa mastar wakubwa tu kwa nini Ronaldo alipaa zaidi Kaka akadrop?
Kaka ali drop wapi mfumo ulimkataa Morinho alikua anataka kucheza counter attack football wakati yeye hakua na speed
 
kwani ambacho hujamuela jamaa Ni kitu Gani kwenye Mfano wake anamanisha Messi pamoja na kwamba hakabi ila kwenye ku attack anakupafaida kubwa sana kwenye kushambulia kuliko huyo Kai ambaye anakaba na Kushambulia Ndio ata kwa Chama hakabi ila kwenye kushambulia ana Namba kubwa kwenye kutengeneza Nafas Na Kufunga kuliko huyo Mudathir anayekaba na kushambulia kamaa utaendelea kubisha tutakuletea takwimu apa.
Hakuna kocha asie penda mchezaji anae weza Ku offer kitu zaidi ya kimoja ndio maana makocha wengi Simba wanapendelea Kibu kuliko Chama
 
Hakuna kocha asie penda mchezaji anae weza Ku offer kitu zaidi ya kimoja ndio maana makocha wengi Simba wanapendelea Kibu kuliko Chama
usisahu pia kuna wachezaji hawa ku offer vitu vingi uwanjani ila anaweza ku offer kitu kimoja tu kwa postion yake ila akawa best mara mia ya huyo anaye ku offer vitu vingi mfano XAVI Henanderz hakua mzuri sana kwenye kukaba alikua mzuri sana kwenye kupiga pasi ila kuna Viungo walikua wanapiga pasi na kukaba kwa wakati mmoja mfano Song kiungo wa zamani wa Arsenal ila ukisema utaje one of the best midfieder wa tano kwenye Historia ya Mpira Huwezi kushindwa kutaja jina la XAVI lakini Song huwezi kumtaja ku offer vitu vingi haimanishi ni you are the best than all.
 
Nimeshawajibu atacheza Central attack midfielder anapocheza Mudathir ambayo Huelewi Nini mbona unakua lipumbavu lakuelewa afu mim sio Binti likitambi lako
Kwa akili ya kawaida huwezi kumuweka mudathir benchi kisa konokono chama,unajua kwanini chama huwa anapwaya sana kwenye derby zote alizowahi kucheza kiasi kwamba mpaka anafanyiwa sub?
 
Kwa akili ya kawaida huwezi kumuweka mudathir benchi kisa konokono chama,unajua kwanini chama huwa anapwaya sana kwenye derby zote alizowahi kucheza kiasi kwamba mpaka anafanyiwa sub?
Mechi zote za derby unawahika umesahau Mechi ya Azam federation nusu fainali wakati unapigwa goli nne moja Chama alikufanya kitu Gani au umesahau kilichowakuta kwa kumaliza Chama yupo kwenye list ya wafungaji wenye magoli mengi zaidi kwenye CAF champions leauge uyo mpemba wako ana kitu Gani cha ajabu
 
Kwahiyo kuwa kwenye list ya wafungaji wa caf ndipo umeweka hitimisho kuwa yeye ni bora kuliko mudathir? Kwanini unaitaja mechi moja ya derby kati ya nyingi alizocheza?
 
Kwahiyo kuwa kwenye list ya wafungaji wa caf ndipo umeweka hitimisho kuwa yeye ni bora kuliko mudathir? Kwanini unaitaja mechi moja ya derby kati ya nyingi alizocheza?
Kwenye comment yako umesema mechi zote za Derby Ndio Maana nikakupa mfano wa hiyo Mechi Moja ili kukumbusha Na usisahau ayo Magoli aliyokua anafunga kwenye CAF champions leauge yalileta impact kubwa sana kwa klabu mfano Goli alifunga dhidi ya Nkana liltupeleka makundi Goli alilofunga na AC vital litupeleka Robo fainali magoli aliyefunga dhidi ya Platinum ya zibwabwe yalikua na impact kwenye timu tukaenda makundi magoli aliyefunga dhidi ya AS vital yalikua na impact Magoli dhidi ya Uroya wacha Niishe apo mzee Kwa kumaliza Chama amewahi kushinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi kuu Tanzania Bara weka data apa za mudathir tupime ubora wake
 
Kila msimu ukikaribia kuisha na mtetesi za Chama mapya..wazee wa matetesi
Any way lolote linawezekana hakuna mtu atadumu mahali milele...
 
Back
Top Bottom