Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

Hapana U=U
ni kiasi cha Virusi kuwa chini sana kwenye Damu tunaita TND..
Hiyo Haifanyi Virusi visionekane kwenye Antibodies Test au Visiwepo mwilini..
Bado ataendelea Kuwa na HIV ila uwezo wa kusambaza Virusi huwa ni mdogo sana..

Kwanini mnaogopa watu ambao tayari wapo kwenye dawa?

Me ningeshauri watu waogope zaidi mtu yule ambaye Kipimo kinasoma Negative..

kwanini?
Mtu anapokuwa kwenye Window Period Virusi huzaliana sana na ndo kipindi ambacho Muathirika anakuwa na Peak kubwa ya Virusi kuliko wakati wowote ule maana kipindi hicho bado antibodies hazijaanza kufanya kazi ya kupambana na Virus...
Hakuna kipind Muathirika huwa Contagious Wa HIV kama kipindi cha window Period..
Somo limeeleweka vema
 
Inawezekana bwana, ni vile ugonjwa ni tishio kiasi wauguzi hawawezi kuweka wazi maana watu watajiachia, mtu aliyetumia dawa kwa kipindi kirefu anaweza hata kupimwa na asionekane mwenye maambukizi, mdudu anavaa gamba fulani linalo punguza kushambulia au kupenya kwenda sehemu nyingine
inaweza kuwa kweli pia ni vile tu bado hatuna facts
 
Inawezekana wemgine wana ukimwi na dawa hawamezi.

Kuna MTU namjua Ana ngoma Ila hatumii dawa zozote.

Nadhani sijajua ipoje Ila wanawake wanaweza kuwa na magonjwa ya ngono makubwa Ila wao wakaendelea kuwa safe. For a while sasa sijui issue ni immunity au nn.
Hiyo inahuiana sana na genetics
Na mambo ya damu kiujumla
 
100% Ni kweli..
Na watu wengi sana wanaishi ni Serodiscordant..
Sisemi Kwa ushabiki bali nimeshuhudia sana..
Watu wengi ambao mara Nyingi tunaruhusu mahusiano hayo ni wale waliopima HVL na mara nyingi Huwa Zinasoma TND..("Target Not Detected")

Huyu ana Percent chini ya 0.01 ya kumuambika mwingine na hata wakinamama wakifika Hapa huwa wanaruhusiwa kuwa na watoto yaani kuchukua mimba na kuzaa..
Watu hawajiulizi kwanini Serostatus (Maambukizi) ya Watu hayaongezeki na yanazidi kupungua?

Kwanini siku hizi Idadi ya watoto Wadogo wenye maambukizi imepungua Sana tofauti na Zamani..

Jibu Ni moja Tu kuwa inawezekana na mifano ninayo na nimeiona si chini ya couple 100 zikiishi hivyo na kwa furaha

Kama kuna mtu mwenye swali namkaribisha maana hii ni moja ya Sehemu zangu za kujidai
Haya ndio mambo hupenda kusoma
 
Mimi kidogo nipo tofauti, siamini kama kuna magonjwa ya kuambukiza.

Kuna siku watakuja kuafiki hili, ndio maana kuna kuja stori nyingi mara Kuna watu hawaambukizwi mara hivi mara vile.

Kama kweli Kuna magonjwa ya kuambukizwa, yule wa kwanza kabisa kuumwa alipata wapi huo ugonjwa ?

Akili inahitajika kufikiri juu ya mambo haya.
 
Kaka kuna mambo yaa kushangaza
Au niseme nyege mbeya sana

Me nlipiga dem ana HIV tena nlikua na nnajua asilimia 99.9

Sijui ule ujasiri nlitoa wap
Nnachokumbuka nlifika kwake nkamkuta sebulen saa7 usiku kavaa mtandio tu
Chezea weweeee nkawa kama natak kumuinamisha anagoma
(Nlikua nkifanya hivyo ili ajue ya kua sijui status yake)
Nkamwambia nna ndom apa
Nkatoa nkavaa akainama vizuriii
Nkapiga na kutoka ila baadda ya kutoka sasa daaah
Mwamba wa chini akiamua lake hakuna unachoweza kufanya kubadili mawazo yake.
Akili inarudi ukifika mshindo sasa😂
 

Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom.

Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu wasiogope UKIMWI?

Je, kuna watu hawaambukizwi HIV?

Ni kweli mtu akitumia vizuri dawa ARV haambukizi wengine?

Je, UKIMWI ni fix tu?
Swal zur hawez akaambukiza mtu kama anatumia dawa kwa usahihi
 
Inawezekana wemgine wana ukimwi na dawa hawamezi.

Kuna MTU namjua Ana ngoma Ila hatumii dawa zozote.

Nadhani sijajua ipoje Ila wanawake wanaweza kuwa na magonjwa ya ngono makubwa Ila wao wakaendelea kuwa safe. For a while sasa sijui issue ni immunity au nn.
Mkuu,

Huu ugonjwa una hatua zake ambazo ni Hatua 1,2,3 & 4. Utakuwa salama tu kwa kutumia dawa vizuri. Na wagonjwa wengi ni wanawake. Kumbuka kinachoshambuliwa ni kinga.
 

Hii couple maarufu huko TikTok ni kweli? Dada anasema kaathirika na kaolewa na mwanaume wana watoto na mume hajaathirika na HIV, na wanapendana kweli nadhani mliwaona walihojiwa wenyewe na walisema hawatumii condom.

Najiuliza ina maana DECEPTION alisema kweli kipindi kile au wanahamasisha watu wasiogope UKIMWI?

Je, kuna watu hawaambukizwi HIV?

Ni kweli mtu akitumia vizuri dawa ARV haambukizi wengine?

Je, UKIMWI ni fix tu?
Hapana anaweza kuambukiza.

Ila Kama anameza dawa vizuri na kiwango cha virusi kwake kiko.chini Sana ( viral load) anapunguza hatari ya kuambukiza Sana, ila siyo kwamba haiwezekani.

Pili, asione mwenzake aneza dawa na anaishi vizuri, wewe unaweza kupata maambukizi ya VVU halafu ukapata magonjwa nyemelezi mabaya kuliko yeye halafu ukateseka.
 
Kaka kuna mambo yaa kushangaza
Au niseme nyege mbeya sana

Me nlipiga dem ana HIV tena nlikua na nnajua asilimia 99.9

Sijui ule ujasiri nlitoa wap
Nnachokumbuka nlifika kwake nkamkuta sebulen saa7 usiku kavaa mtandio tu
Chezea weweeee nkawa kama natak kumuinamisha anagoma
(Nlikua nkifanya hivyo ili ajue ya kua sijui status yake)
Nkamwambia nna ndom apa
Nkatoa nkavaa akainama vizuriii
Nkapiga na kutoka ila baadda ya kutoka sasa daaah
Nyege mbaya sana.
 
Huo ndio ukweli,naamini kila mmoja wetu alishagonga demu victim ila kwavile wanatumia dozi hakuna maambukizimakubwa,mara ngapi umeuza mechi ila uko safe now,jibu ni matumizi fasaha ya ARV kwa unowagonga
Hiki ndicho ninachokiamini pia na nadhani mtu akipimwa akakutwa ana HIV anapaswa awe mwungwana kwa kuhakikisha anawalinda wengine wote dhidi ya maambukizi maana
 
Kuna level ya viral load (idadi ya virusi vya HIV kwenye damu) ikifikia kuwa undetected (kutoonekana kwenye damu) inakuwa huwezi kumuambukiza mwenza wako hata mkijamiiana bila ya kinga.

Ila inataka ujasiri wa hali ya juu. Yani nikijua una ngoma sidhani hata kama mnara utasoma achilia mbali kupiga kavu.

Kama ni kweli jamaa anakula mzigo kavu basi mwamba jasiri hasa.
Mkuu ni kama unataka kusema HIV unaiogopa sana as if ndiyo inaua sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom