Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,495
- 34,256
Kila wakati hoja ya Simba "mbovu" huwa siielewi kabisa.
Ubovu wa Simba kigezo huwa ni nini?
Je, Simba ni timu isiyotakiwa kufungwa?
Je, Simba ni timu isiyotakiwa kutoka suluhu?
Je, Simba inatakiwa iwe mshindi kwenye kila mashindano inayoshiriki?
Maana Simba ikiishia robo fainali Klabu Bingwa inalaumiwa!
Ikiwa mshindi wa pili ligi Kuu inalaumiwa!
Hivi Simba ndiyo ingekuwa kama Liverpool ama Arsenal ya Uingereza si wachezaji wake wangekuwa wanarushiwa mawe uwanjani!?
Kama mngekuwa mnaamini Simba ni timu mbovu msingekuwa mnalaumu kila inapofungwa au kutoka suluhu!