Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,432
- 2,437
Huu ndiyo ukweli mchungu kwamba kama ushatembea na wanawake 10 huenda mmoja alikuwa victim ila wewe umetoboa.Huo ndio ukweli,naamini kila mmoja wetu alishagonga demu victim ila kwavile wanatumia dozi hakuna maambukizimakubwa,mara ngapi umeuza mechi ila uko safe now,jibu ni matumizi fasaha ya ARV kwa unowagonga
Kwa uhalisia mtu akigundulika ana HIV ni vema ahakikishe anawalinda wengine wasipate maambukizi kwa kutumia dawa vema au kwa kuhakikisha anasisitiza safe sex all the time.Taifa ni letu hili mtu anapowaambukiza watu maksudi chain inarudi hadi kwa watoto wake na ndugu zake inapain mno.
Ni vizuri tukahimiza watu kutambua kuwa sometimes tupo safe kwa kuwa Mungu alitujalia neema yake tu si kwa ujanja wetu