Search results

  1. B'REAL

    Biashara ya viatu mitumba ladies

    Wakuu niaje,mko poa...mi mafanya biashara ya ladies shoes na mikoba,niko location mwanza.nilianza kwa kukata baloo za viatu mwenyewe na pochi,kwenye viatu nilikuwa nafungua grade number moja ila open ladies wanasema grade ila ilikuwa ya kawaida,nibiashara nimefanya kwa mda kidogo.issue yangu...
  2. B'REAL

    Dhuluma inayofanyika soko jipya la Buhongwa(Dampo) Jijini Mwanza

    Habari zenu wakuu, Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Soko jipya waliopangwa machinga Buhongwa(Dampo)limejaa ukiritimbaa,dhuluma na uonevu mkubwa. Viongozi kuazia ngazi ya mwenyekiti wa serekali za mtaa,katibu wa machinga wamekuwa wakiwanyanyasa watu. Kumekuwa na kiukwaji wa sheria...
  3. B'REAL

    Panga pangua ya machinga Buhongwa

    Habari wanajavini, leo ilikuwa siku rasmi ya kuwapanga machinga Mwanza, wilaya ya Nyamagana kata ya Buhongwa. Muitikio ulikuwa mkubwa wa wamachinga kufika mapema sana.
  4. B'REAL

    Mifuko ya vijana na kina mama kwenye Halmashauri

    Wakuu habari za asubui!!napenda kuhoji na kupata uelewa,katika halimashauri za miji najua Kuna mfuko wa maendeleo wa vijana na kina mama kwa kupitia vikundi vya ujasiriamali,binafsi kikundi chetu kipo mwanza nyamangana Ni vijana zaidi ya kumi,na kikundi chetu kimesajiliwa. Issue Ni hivi toka...
  5. B'REAL

    Kwako Mkurugezi wa Jiji la Mwanza

    Habari ndugu, Napenda kuongea na mkuruguzi wa Mwanza kupitia Uzi huu. Ndugu muheshimiwa mkurugezi napenda kukupa Rai juu ya kosa unalotaka kufanya kuhusu kuwaamisha wamachinga especial wa Buhongwa wilaya ya Nyamagana. Mkuu utaratibu unaotaka kutumia utagarimu, kibarua chako. Ni hivi Jana...
  6. B'REAL

    Tafsiri ya hii ndoto

    Wakuu humu habari za mida hi,jamani naombaa kupata tafsri ya hi ndoto Kama inamaanisha chochote, nilikuwa kwenye mizunguko yangu na wezangu Kama watatu, tukapita sehemu ambayo wanafuga ngombee, basi nikamsifia ndama mmoja Ni mbegu nzuri hamadi akatokea ngombee dume alikuwa karibu akaanza...
  7. B'REAL

    Stukaaa vyakula vya mtaani

    Wakuu Mambo vip!ebanaa Leo nimeona tustuanee na kuchukua tahadhari ya baadhi ya sehemu tunazo kulaa hasa mama Lise huko kwenye miangaiko yetu. Ni hivi unaweza kwenda kwa mamalishe ukaagiza chai yamaziwaa....sanukaa siku hizi wanachanganya na maji ya mchele,maziwaa kidogo plus maji ya mchele...
  8. B'REAL

    Hiki kidonda kimenisumbua miaka 10 tiba yake ni nini?

    Wakuu habari za miangaiko ya hapa na palee.hichi kitu ninamiaka Kama 10 Sasa kinanisumbua,asubui huwa kinauma Sanaa,nimejaribu kwenda hospital nyingi Ila bado iko pale pale,Kuna saa kinauma vibaya mno naombaa msaada. Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
  9. B'REAL

    NSSF Mwanza mnatia haibu

    Habari Wana jamvi, nasikitika sana NSSF Mwanza, ufanyaji wenu wa kazi ni ovyo Sana, mmewajaza watoto wa field, sio mbaya wapeni maelekezo jinsi ya kujibu wateja! Mtu hajui hata process unakuja kumwambia anijibu anajibu ovyo kabisa. Kuna dada mmoja ana majibu mabaya kama sura yake, eti mliofata...
  10. B'REAL

    Ndugu zangu Wabunge tupiganie kuhusu malipo ya mafao yetu NSSF na PSSF

    Ndugu zangu waheshimiwa Wabunge, tafadhali tuangalizie kuhusu malipo ya mafao yetu NSSF na PSSF walah miezi sana vimilioni vitano wanashindwa kutulipa jamani, halafu mnasema hatupendi kufanya kazi kweli jamani. Imagine kijana wa miaka 35 ajira iliisha au mkataba wake umeisha na hali ya uchumi...
  11. B'REAL

    Je, baba Daimond anaweza kumshtaki Daimond?

    Kuna tetesi kwamba baba Daimond, Mzee Abdul kaenda kustaki Daimond Mahakamani akidai fidia na kuzalilishwa. Hivi anaweza kulipwa? Na kama ikitokea akilipwa, inatakiwa alipwee mahela ya kutoshaa asee na hapo ndio hapo naamini usikate tamaa mpaka kaburini hakuna maskini.
  12. B'REAL

    NSSF Kinondoni wanakwamisha malipo ya mafao ya wanachama wa mikoani

    Jamani!Kama kuna wahusika humu tafadhali,chukueni hatua,kumekuwa na malalamiko mengi sanaa kwa NSSF mikoani,kukwamishwa na utendaji wenu NSSF Kinondoni au Ilala,watu tumekuwa tunafungua file mikoani kudai mafao yetu Ila nyie huko mmekuwa mkikalia mafaili kwa muda mrefu sana. Mimi niliajiriwa na...
  13. B'REAL

    Kwanini magerezani na mabenki uchawi haupiti?

    Habari za saa hizi wakulugwaa. Kuna swali huwa najiuliza sana nakosaa majibu. Uchawi upo hata kama hatuamini Ila upo. Je, ni kweli kwamba magereza na mabenki mengi huwa kuna zindiko so nguvu za Giza haziwezi kufanya kazi? Mfano mtu amefungwa kwenye gereza hakuna uwezekano wa kutumika mfungwa...
  14. B'REAL

    Professional registaration

    Habari wadau, Ningependa kujifunza kitu/au kujua kutoka kwenu. Kuna kazi nyingi hasa za serekali zinataka mtu akisomea nje ya nchi wawe awamesajiliwa. Ninacho taka kujua: Mimi nimesomea Kampla(Uganda) miaka kama sita iliyopita. Nina ka degree kangu ka Mawasiliano ya Umma. Nisafanya kazi...
  15. B'REAL

    Vilivyo niharibu....nilivyo viharibu

    Wakuu habari ya mida!embu tupunguze stress kidogo maana maisha Ni haya haya Sina badilika tarehe tu. Nikweli tumepitia mengi Ila katika vilivyo niharibu tokea nikiwa mdogo kwangu Ni hivi...kamari nimekuwa nikicheza kamari tokea nikiwa la nne,Tena mpaka na sahau kulaa,mitaa ya sanawari...
  16. B'REAL

    NSSF Mwanza imezidiwa

    Habari za kutwa ndugu na jamaa,siku yaleo nilitembelea makao makuu ya NSSF lake zone Mwanza. Kwa niliyoyaona na kukutana nayo hakika haipingiki NSSF Mwanza imezidiwa. Huduma Ni duni!watendaji ni wachachee sana. Kuna mdada mmoja nadhani wanamuita Matroni anahitaji pongezi anafanya kazi kweli...
  17. B'REAL

    Msaada: Nina tatizo la kupata Kwikwi nikinywa chai yenye tangawizi

    Habari wakuu, Jamani sijui ni ugonjwa au ni nini maana nikinywa chai yenye tangawizi iwe imewekwa majani au tangawizi peke yake huwa napata kwikwi sana, naweza mwanzo wa chai hadi mwisho napata kwikiiii au nikila pilipili.
  18. B'REAL

    Wataalam ningependa kujua kuhusu jambo hili

    Habari za ijumaa wandugu, Naomba nisiwachoshe Kuna Jambo nataka kujua au niseme nifate utaratibu gani! Miaka Kama mitano niliajiriwa na kampuni binafsi nikajiunga PPF, baada ya miaka mitano Nika be terminated, nikafatilia michango yangu ikawa Ni danadana za hapa na pale siku fanikiwa kupata...
  19. B'REAL

    Baadhi ya vijana tunajikwamisha wenyewe

    Habari za asubui wakulungwa!Kuna Jambo limenishunisha sana,nikaona Ni share na wanzego tuchukue Kama taadhari au kwa wengine kama fundisho. Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo na kijibanda changu Cha kuuza PRS mbili tatu za viatu, hapa sehemu ninayo fanyia biashara Ni changanyikeni. Basi bana...
  20. B'REAL

    Natafuta muwekezaji!!

    Wakuu habari za mida hi, kama kichwa cha habari hapo juu. Mi ni mjasiria mali mdogo mdogo wa biashara ya viatu vya mtumbaa, especially vya kike, watoto na kiasi vya kiume. Nipo Mwanza na kiofisi yaani goli, nakata ballo la viatu saa nyingine naenda kulangua mlango mmoja kutokana na kipato. Niko...
Back
Top Bottom