Natafuta muwekezaji!!

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
Wakuu habari za mida hi, kama kichwa cha habari hapo juu. Mi ni mjasiria mali mdogo mdogo wa biashara ya viatu vya mtumbaa, especially vya kike, watoto na kiasi vya kiume. Nipo Mwanza na kiofisi yaani goli, nakata ballo la viatu saa nyingine naenda kulangua mlango mmoja kutokana na kipato.

Niko location nzuri na wateja wapo kwa kweli, issue hapa Ni mtaji ndugu zangu. Kipindi hichi ni kizuri sana kwa biashara ya viatu vya shule na mabegi katika hili eneo. Nahitaji mwekezaji kuazia laki mbili Hadi 500000 tufanye biashara. Na tutakubaliana kimaandishi kiasi ambacho atapata kutokana na kiasi cha pesa anachowekeza. Kwa proposal njoo private. Niko Mwanza
 
Kama mzunguko upo ridhika huna haja ya kushea kabisa ukimaliza mzigo kalangue tena maisha yaendelee haya maisha kushea ni shida utaishia kulia
 
Back
Top Bottom