Baadhi ya vijana tunajikwamisha wenyewe

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
Habari za asubui wakulungwa!Kuna Jambo limenishunisha sana,nikaona Ni share na wanzego tuchukue Kama taadhari au kwa wengine kama fundisho.

Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo na kijibanda changu Cha kuuza PRS mbili tatu za viatu, hapa sehemu ninayo fanyia biashara Ni changanyikeni.

Basi bana Kuna wiki Kama mbili akaja kijana mwezangu(mha) mimi sio mha akanielezea mwaswaibu yake,mengi kweli na jinsi life lake lilivyo tyt kwa Sasa, akaniomba Kama inawezekana nimpe hata pr tatu nne akazungushe jioni awe analiletea hela then na yeye atakuwa kapata chochote.

Nilimuonea huruma na Nikamuhoji muhoji palee,nikajua anapoishi basi nikaingiwa Imani nikasema maisha nikusaidiana ngoja nimuamini.

Nikampatia PRS Kama nane baada ya Kama siku sita tokea Nimpatie Hadi leo sijamuona. Kinachoniumiza nikwamba nilimuamini Kama kijana mwezangu Ila kaamua kunitenda.

Style hii inafanya vijana wengi kuto saidika, naamini iko siku tutaonana tu. Hii imenifanya niwe na roho ya kuogopa kusaidia mtu
 
Mkuu kwa dunia Ya sasa mtu mwenye roho nzuri ndo anaumizwa kuliko mwenye roho mbaya.
Pole sana mkuu.
True hasa waliojifichia kwenye dini ogopa Sana unaefanya nae bizeness na kujifanya dini imemjaa KILA neno la biashara lzm achomee dini ukiona hivyo kimbia usigeuke nyuma. Tulipigwa madini kwa staili ya kumuamini mchungaji
 
Asubui
Wazengo

Mkuu wanavyosema usifanye biashara na kijana wengi wahuni hawa wazee hawajakosea boss wangu.
 
Hapo umejikwamisha mwenyewe...mtu kakuomba prs 3 we unampa 8.... Huko alipo anakucheka sana huku akisikiliza wimbo mpya wa diamond na koffi olomide
 
Hapo umejikwamisha mwenyewe...mtu kakuomba prs 3 we unampa 8.... Huko alipo anakucheka sana huku akisikiliza wimbo mpya wa diamond na koffi olomide
Nilimpa p5 akarudi dakika chachee akaniambia asee Kuna mteja anataka size flani na flani na flani nikamuamini kumpaa ndo changa.ila dunia ndogo hi tutakutanaa tu siku moja.labda akimbie arudi kwao kigoma
 
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom