Habari wakuu, Jamani sijui ni ugonjwa au ni nini maana nikinywa chai yenye tangawizi iwe imewekwa majani au tangawizi peke yake huwa napata kwikwi sana, naweza mwanzo wa chai hadi mwisho napata kwikiiii au nikila pilipili.