Professional registaration

Professional registaration

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
Habari wadau,

Ningependa kujifunza kitu/au kujua kutoka kwenu. Kuna kazi nyingi hasa za serekali zinataka mtu akisomea nje ya nchi wawe awamesajiliwa.

Ninacho taka kujua:

Mimi nimesomea Kampla(Uganda) miaka kama sita iliyopita. Nina ka degree kangu ka Mawasiliano ya Umma. Nisafanya kazi sehemu mbali mbali private kampani hapa kwetu. Sasa swali langu ni je, kuna umuhimu wa kuhakikiwa au kusajiliwa hapa kwetu?

Na je, unaenda kwenye mamlaka gani au wapi? Na taratibu zikoje?
 
Habari wadau,ningependa kujifunza kitu/au kujua kutoka kwenu,Kuna kazi nyingi hasa za serekali zinataka mtu akisomea nje ya nchi wawe awamesajiliwa.ninacho taka kujua...
Nnavyojua usajili unawahusu mainjinia, madokta, wahasibu, wanasheria...ambao hawa wanasajiliwa kwenye bodi zao za kitaaluma! ila kama ulisomea nje nadhani unatakiwa upeleke (cheti chako cha chuo pamoja na masomo uliyosoma) TCU kwa ajili ya uhakiki!
 
Je Kuna garama ambazo natakiwa kulipa?
 
Je Kuna garama ambazo natakiwa kulipa?
Lakini pia ni vyema ukajua, mara nyingi huu uhakiki wa TCU ni kama unataka kuomba kazi hasa za serikali ambazo wao wana specify kabisa vyeti vyako vipitie TCU kwa ajili ya uhakiki!

Japo si vibaya kupeleka TCU ila kama huombi kazi na kama unafanya kazi private au sehemu ambayo hawataki upeleke TCU sioni kama kuna ulazima IMO! Ila pitia site ya TCU nadhani utapata mwanga zaidi!
 
Asante mkuu kwa mwangaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom