B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,579
- 3,267
Wakuu Mambo vip!ebanaa Leo nimeona tustuanee na kuchukua tahadhari ya baadhi ya sehemu tunazo kulaa hasa mama Lise huko kwenye miangaiko yetu. Ni hivi unaweza kwenda kwa mamalishe ukaagiza chai yamaziwaa....sanukaa siku hizi wanachanganya na maji ya mchele,maziwaa kidogo plus maji ya mchele tiyari chai ya maziwa mzee. Usanuke mafuta yakula ya mekuwa ghali,kupunguza ukali wa maisha Kuna mafuta ya nguruwee ndo mbadala kwa Sasa kwa wauza chips wengi mjini. Sanuka,zile kachumbari unazokulaa ukazani wanatengeneza na nyanyaa nzuri mzee umefelii zilee nimasharooo wanaenda sokoni kununua manyanya mabovu.....tuwe waangalifu tunapo enda kulaa huko mtaani.na wewe jazia zako
