Search results

  1. victor moshi

    Msaada mwenye ujuzi wa kifaa hichi kinaitwaje?

    Kati pita pita zangu mikoa tofauti nimeshakutana na magari katha ya mebeba hicho kifaa mfano Arusha, mwanza, Kilimanjaro . Wakuu kama kuna mtu mwenye uelewa naomba atupe maelezo. A) jina la hicho kifaa B)matumizi yakee? C) na kina fanya je kazi?
  2. victor moshi

    Dulla Planet wa East Africa akabidhiwa gari kali

    Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12. Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
  3. victor moshi

    Msaada: Nimeshidwa kuimba nyimbo ya taifa

    Wakuu, Nimejikuta nashindwa kuimba nyimbo ya taifa nakubaki nikihuzunika. Pia nimeshindwa kuimba ile nyingine "Tanzania ×2 nakupenda kwa moyo wote. Nafsi yangu imegoma kabisa. Nawasilisha.
  4. victor moshi

    Wimbo #moyo mashine

    Moja ya nyimbo nzuri za rnb singer ben paul Huu wimbo mi nauona watofauti coz 1)hii nyimbo tangia itokee haija chujaa masikioni kwangu ukilinganisha na nyimbo nyingine hua na choka kusikiliza mapema mno 2)nimoja ya kati ya nyimbo lyrics zake ziko kwa mtiririko...maluum Na wasilishaa....
  5. victor moshi

    Mkanye mkeo!!

    Ujumbe umefika kwa muhusika.
  6. victor moshi

    Kwanini baadhi ya wasanii wetu hawapendi kutoa support kwenye Media zetu za nyumbani?

    Mimi ni mdau mkubwaa sana wa mziki sana. Huwa napenda kufuatilia kila mwanamziki awe mdogo au awe mkubwa. Tatizo lina kujaa palee baadhi ya wanamuziki wanapotoa music video utasikia anaenda ku premiere video kwenye vituo vingine vya out na Bongo utadhani Tz hakuna music television. Na kama...
  7. victor moshi

    Cicada 3301

    Naomba kuliza wakuu wa jf hii Cacada 3301 inahusunini? Kwa sababu nimekutanayo sehemu nikashindwa kuelewaa.. Note:mwenye uhelewa na hiyo kitu::
Back
Top Bottom