Search results

  1. Babumawe

    Baada ya Gwambina kujitoa Ligi Daraja la Kwanza (Championship), Ndanda nayo yajitoa

    Klabu ya Ndanda ya Mtwara imetangaza kujitoa katika Ligi Daraja la Kwanza (Championship), huku sababu ikielezwa ni ukata kiasi Cha kushindwa kumudu gharama za kujiendesha. Ndanda imekuwa haifanyia vizuri kwenye ligi hiyo kuanzia mwanzoni na sasa inaonekana kuamua kuachia ngazi rasmi. Timu hiyo...
  2. Babumawe

    Kuna siri gani kwenye noti ya shilingi mia tano ya zamani?

    Hii pesa sasaivi mtu yupo tayari akupe hata milioni ili umpatie hii pesa. Ina kitu gani cha ziada wenye kuelewa nasi watujuze.
  3. Babumawe

    Tuzitambue Wilaya maarufu kuliko mkoa hapa

    Mimi naanza na hizi. 1. Mpanda (Katavi) ~ Hapa Mpanda ni maarufu kuliko mkoa husika wa Katavi, Sumbawanga (Rukwa). Hapa utasikia mtu anakwambia ninaenda Sumbawanga yaani huwezi kusikia mtu akikwambia anaenda Rukwa kamwe. 2. Bukoba (Kagera) ~ Bukoba ni maarufu sana kuliko Kagera yenyewe...
  4. Babumawe

    Huu mkoa kila mwanamke ninaepishana nae ana ndevu

    Nipo Mbeya hapa kuanzia Uyole, Rungwe, Kyela, Chunya na kila ninapopita napishana na wakinamama wana ndevu. Sasa sielewi jamii za huku ndo walivyo au...au Kuna mkoa mwingine wapo kama huku maana ndevu tena kwa mtoto wa kike mbona naogopa aisee.. Huko kwenu vipi?
  5. Babumawe

    Jezi 42,000 za Simba zimeuzwa kwa siku

    Takribani jezi elfu arobaini na mbili za mabingwa wa Tanzania Simba sports club zimepigwa bei kwa siku moja. Hii ina maana kwamba ikiwa kila jezi imeuzwa kwa 30,000 basi almost 1.26Billions zimeingia kutokana na jezi. Naona kabisa vunjabei amepiga mshindo mkubwa kwenye hili dili na anatamani...
  6. Babumawe

    Mtaje mtu maarufu hapa unayeona unamzidi hela

    Mimi naanza.. babalevo namzidi akiyanani
  7. Babumawe

    Hakuna ubishi tena Mugalu kamuacha mbali kagere

    Hii ni vita Kati ya mashabiki wa timu moja wengine wakiamini kwenye uwezo wa kagere na wengine wakimuamini Mugalu. Vita ilienda mbali zaidi hasa wakimshutumu kocha kuwa ana kaugomvi na baadhi ya muwakilishi wa mchezaji Fulani kwenye hii vita, all in all vita hii ishaanza kutoa taswira kamili...
  8. Babumawe

    Mabibi harusi hivi mnalizwaga na nini siku ya harusi?

    Habarini za muda huu? Leo nimeamua kuja na hii kitu ambayo inatokea kila uchwao. Kila harusi niliyowahi kuhudhuria na hata zile ambazo sihudhurii bali nangalia kwenye kideo naonaga lazima bibi harusi amwage chozi. Yaani either iwe katikati ya shughuli au mwanzo au hata mwisho lazima alie...
  9. Babumawe

    Chagua rangi hapa halafu dedicate kwa mtu yeyote

    Haya leo tufanye ni siku ya kudedicate mtu yeyote kwa kutumia rangi, taja jina la mtu yeyote kwenye platform then mpe rangi yake unayoona anastahili kwa upande wako.. Hizi ndizo rangi zitakazotumika 1.orange - happiness 2.yellow - friendship 3.red - love 4.white - peace 5.black - hate 6.purple...
  10. Babumawe

    ID yako ya JF utaiuza kwa shilingi ngapi?

    Ikitokea kuna mtu anajitokeza kununua ID za jf, wewe yakwako utaiuza kwa shilingi ngapi? Don't be bias, sema tu kwa uonavyo wewe thamani ya ID yako kwenye platform hii. Maana kuna watu walijitokezaga kununua baadhi ya ID huko ughaibuni kwenye platform moja ya kijamii inayofanana na hii sasa...
  11. Babumawe

    Wadada hivi kwanini mnakosaga nauli mkiitwaga?

    Eti kwa pamoja leo tudiscus hii kitu, hivi nyie wadada sijui tuwaite masistaduu au walimbwende nauli ya kutoka buza hadi buguruni rozana ni sh.400 tu ila sasa kila uchwao mkiitwaga maghetoni utasikia nitumie nauli. Ebu mtuambie leo kwanini huwa mnakosaga nauli pindi mnapoitwa maghetoni, ni...
  12. Babumawe

    Wanaposemaga simu inauzwa kwa sh. 199,999 mnaelewaje?

    Ukitembelea maduka ya simu utakuta simu fulani inauzwa kwa sh. 199999 nyingine labda 149999 au 249999. Swali linalolitatiza mimi ni kwamba hizi hela zipo kweli au yaani ukishanunua hiyo shilingi moja unaipata wapi. Au kwa waliowahi kununua je huwaga wanawarudishia chenji iyo shilingi moja au...
  13. Babumawe

    Inasemekana kwamba wadada wengi wa jf ni wa uswazi

    Izi ni tetesi tetesi tu kwamba asilimia kubwa ya wadada humu ni kutoka uswazini yaani akina mwajuma ndalandefu na chausiku. Eti kwamba wadada wa ushuani wao ni insta na twitter ukimwambia Jf haijui, Eti kwamba wadada wa ushuani wana vijiswaga vya kudekadeka tofauti na humu wengi ni wagumu...
  14. Babumawe

    Wanasemaga tuwafanye kitu chochote ila tusiwaingize naniliu.girls njooni mjibu

    Wanyabi wazima!! mi nahitaji kujua what really goes on in the ladies minds hasa wanapokua wanakataa mnyanduano. Hii hasahasa anapokuwa amekuja ghetto fresh, yupo dressed fresh tu na anaonekana yupo ready for being pumped. Mara paap umemtachi tachi na anaonesha kabisa umemlegeza, sasa unakuta...
  15. Babumawe

    Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

    Mimi binafsi sauti langu nalichukia yaani unakuta siku lisauti linakuwa lizito kama umemeza kokoto, cha kushangaza eti kuna lidada limoja huwa linaniambiaga anapenda sauti yangu ilivyo yani hadi namshangaa. Hivi mnapendea nini sauti nzito yaani inakuwa inawapa feeling gani sisi wenyewe...
  16. Babumawe

    Mchague mmoja wa kutoka nae Valentine kutoka JF

    Wajameni eeeh siku ndio hizo zinajivuta, Hebu leo fanya kuchagua wa kwenda kutembea nae siku ya valentine kutoka humu humu Jf. Na ukimchagua anaweza kukubali au kukataa pia na ikitokea mpo wengi basi ana wajibu wa kumchagua mmoja. HAYA TWENDE KAZI
  17. Babumawe

    Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

    Jamani dada zetu eeh leo ngoja tuwaambie, kwanza kuolewa ni heshima sana na ukimuona mtu anakuoa kwanza kakueshimu sana kama mlikuwa hamjui. Sasa basi sisi wanaume tunamuogopa sana mwanamke anaependa kutupia uume kinywani, yaani umepigwa pipe mbili tatu mara unaushika mkuyenge unautupia kwenye...
  18. Babumawe

    JF member leo share weakness yako hapa

    Kila mtu ana weakness yake sasa ebu tuseme leo tuone kama hivi vitu huwa vinafananaga kwa wengi. Mimi bhana weakness yangu ni churaaa yani churaaa nikipishana na mkia haswaa lazima nigeuke nyuma niutathmini.
  19. Babumawe

    Harufu ya wigi ukijumlisha na ya mkorogo basi ukimuinamia tabu tupu

    Nani anasemasema kuhusu wanaume wa Dar, basi sahau hiyo kitu kuanzia leo anza kusema wanawake wa Dar. Yaani hata kidume uwe na ugwadu wa miaka 10 nyie wanawake wa Dar hivi vitu havivumiliki. Wigi liko kichwani week 3 na halijapitishwa maji siku zote hizo, umepiga mkorogo ngozi inanuka kemikali...
  20. Babumawe

    Sijawahi kuona kichekesho kama hiki cha Simba SC

    Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati? Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi. Simba Super Cup: BINGWA (Simba) Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba) Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba) Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba) Mchezaji bora mechi ya...
Back
Top Bottom