Kuna siri gani kwenye noti ya shilingi mia tano ya zamani?

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Hii pesa sasaivi mtu yupo tayari akupe hata milioni ili umpatie hii pesa. Ina kitu gani cha ziada wenye kuelewa nasi watujuze.
Gallery_1672937209290.jpg
 
Hakuna siri yeyote ni utapeli tu mtu atajitokeza kuzinunua then atakuwa anaziuza kwa bei mbaya sana huku mwingine akijitokeza kuwa atazinunua kwa bei ya hatari mwisho wa siku ni game plan ya mtu mmoja huyo huyo na mtapigwa sana, acha mie niendelee kulinda geti la mhindi hapa
 
Eee haya mambo haya
 
Hii kitu niliiona kuna siku nilikuwa nayo hii hela nikaambiwa na rafiki yangu nipe hiyo hela itaniletea mamillion kiukweli nilishangaa nikampa

Baadae sasa namsikia anaongea na simu anaambiwa hii ina kitu gani sijui sio yenyewe yaani nilichoka kumbe hizi noti za mia 500 zipo tofauti
 
Kipigo tu hakuna lolote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom