Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,560
Mimi naanza na hizi.
1. Mpanda (Katavi) ~ Hapa Mpanda ni maarufu kuliko mkoa husika wa Katavi, Sumbawanga (Rukwa). Hapa utasikia mtu anakwambia ninaenda Sumbawanga yaani huwezi kusikia mtu akikwambia anaenda Rukwa kamwe.
2. Bukoba (Kagera) ~ Bukoba ni maarufu sana kuliko Kagera yenyewe, inatokana pia na kabila linalopatikana Bukoba kuwa na umaarufu mkubwa na kusambaa sehemu mbalimbali.
Musoma (Mara) ~ Umaarufu wa Musoma unalingana na ule wa Bukoba, Moshi (Kilimanjaro). Hapa ndiyo kabisa yaani mtu ukimuuliza upi mkoa kati ya Moshi au Kilimanjaro lazima atababaika kujibu.
Kama kuna wilaya zingine maarufu kuliko mkoa basi zitaje.