Search results

  1. Wa Igima

    Msaada, naona haki haijatendeka

    Habari Wana JF, Adhabu inasemaje kwa mtu ambaye amekamatwa na baadhi ya vitu vya wizi. Je, anatakiwa kulipa vyote au kurudisha hivyo alivyo kamatwa navyo? Kisa kipo hivi, kuna mtuhumiwa alikamatwa na vitu vya wizi ye akadai aliuziwa lakini ushahidi ulikuwa unaonesha aliiba kesi ilikuwa ni ya...
  2. Wa Igima

    Tanzania tunapitia Inflation

    habari wana jamii.... Msaada kwa wenye uelewa na hili. Ktika pitapita zangu mtandaoni na kwenye magazeti nikiangalia exchange rate za kila siku kwa kila nchi naona thamani ya fedha yetu ipo chini zaidi kiasi kwamba haijapishana sana na hela ya Zimbabwe(zim dola)ambayo naona hata wenyewe...
  3. Wa Igima

    Kibali cha tiba mbadala

    habari wana jamii... Naomba msaada jinsi ya kupata kibari cha kutoa tiba mbadala au taratibu za kufuata ili kufungua helbal clinic........pia naomba mwenye website ya baraza la tiba asili na tiba mbadala anisaidie. natanguliza shukurani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Wa Igima

    msaada juu ya hili

    kwa anaye jua code/apk za kufanya ukipigiwa cm...ioneshe haupatikani hata kama upo hewani....na nipate nitification kw walio nitafuta
  5. Wa Igima

    Kitanda na godoro vinahitajika haraka

    Size:5 kwa 6 au 6 kwa 6.........nipo Kimara Dar es Salaam Ni pm no yako nitakupigia......au nitafute kwa no 0763099556
  6. Wa Igima

    msada:samsung s4 min gt1500 ina suport 4g??

    kama inasuport......inakonectiwa vipi??
  7. Wa Igima

    Tanganyika hatuji kupata Rais bora kama Kikwete

    Salaam wanajukwaa, Najua wengi mtabeza sababu ya hizi nguvu za soda wengine mtasema kwanini asiwe Nyerere na wengine bado wamekariri kare kanadharia ka Mkapa ndio alikuwa bora akifuatia kutoka kwa Nyerere na wengine na ambao niwengi zaidi bado wanaamin Mwinyi hakuwa bora. Nianz na list ya...
  8. Wa Igima

    Kcmc na archibushop james tayari

    Fungua website za chuo husika utayakuta majina
  9. Wa Igima

    Karibuni tuendelee kujuzana vyuo ambavyo tayari vimeshaachia majina, hapa ni list ya baadhi ya vyuo

    Ambavyo tayari mpaka sasa ni UDSM DUCE MUCE MUST St. Augustine Muhimbili
  10. Wa Igima

    Uzinduzi wa miradi mipya ya ACT - Wazalendo Mbozi

    Mkutano huo utahusisha uzinduzi wa salon ya kiume iliyopo stendi ya malori mjini Vwawa na bodaboda mpya tatu. Miradi hiyo mipya ni miongoni mwa miradi ambayo tayari ilishazinduliwa miezi miwili iliyopita. >Miradi inayomilikiwa na ACT Mbozi ambayo tayari ilishazinduliwa ni: *Kikundi cha...
  11. Wa Igima

    Matokeo ya form six 2015 yatakuwa mabaya kutokana na sababu hizi hapa

    *Form six wa 2015 waliita form two bila kuchujwa hali iliyo pelekea matokeo yao kuwa mabaya na kurudiwa kusahihishwa. *Form six wa 2015 wengi wao walipita form four baada ya matokeo yao kurudiwa kusahihishwa au baada ya remix *Sera ya BRN imepoteza mvuto na kukaririwa na watu kama ina aribu...
  12. Wa Igima

    Landcluser Kutoka Uberigiji Zinazotumia Diesel

    Habari wachumi, Gari tajwa hapo juu zinapatikana kwa wingi katika Kampuni ya uuzaji wa Magari Ijurikanayo Kama KK.AUTOWORLD yenye makao yake makuu nchin Japany Jijini Nagoya. Pia tuna matawi katika sehem mbalimbali za afrika kama South africa, Malawi, Mozambique,Botswana,Zimbabwe,n.k Pia...
  13. Wa Igima

    TCU batch three

    Habari Wandugu. Kwa Tulio Andika Barua Tcu Na Bado Hatujaruhusiwa Ku Aply IviMajina Mengine YatatokaLini??. Pia Mwenye Namba Za Tcu Naomba Atusaidie.
  14. Wa Igima

    ACT-Wazalendo Mbozi mwendo wao ni zaidi ya MCHAKAMCHAKA

    Harakati za act mbozi ktk kutafuta mabadiliko zimezidi kuwa kivutio kukibwa kwa wapenda mabadiliko na kuwafanya kukubalika karibu na vyama vyote nchini. Na kwa uchunguzi uliofanywa na wanafunzi wa vyuo vikuu vya inchini tanzania act imeonekana kuwa ndo chama pekee pinzani kutokana na kufuata...
  15. Wa Igima

    ACT Wazalendo Mbozi, yapanga kufanya mkutano mkubwa wa kihistoria Mjini Vwawa

    Baada ya dhiara ya viongozi wa kitaifa wa ACT sasa ni ratiba ya mkutano wa kipekee utakao ambatana na kuwatambulisha watangaza niya ya Ubunge na Udiwani. Mkutano huo pia utahusishwa na kuwa pokea wanachama sitini kutoka CHADEMA na ambao kati yao walikuwa watangaza nia ya Ubunge CHADEMA...
  16. Wa Igima

    Maajabu ya Paka Dume

    Habari Wana Jamvi? Hivi Kwanini Paka Dume Wana Tabia Ya Kupotea? Na Je Wakipotea Huwa Wana Elekea Wapi?? Kuna Uhusiano Gani Uliopo Kati Ya Paka Dume Na Imani Za Kishilikina?
  17. Wa Igima

    Mweyekiti ACT-Wazalendo Mbozi aenguliwa

    Kichwa Kina Jieleza Hapo Juu. Mkutano Wa Kumuengua Ulifanyika Katika Ukumbi Wa Shimoni Village Na Kuhudhuliwa Na Wanachama Akiwemo Katibu Wake Ambaye Aliongoza Mapinduzi Hayo.Na Nafasi Hiyo Ili Tangazwa Kwa Anaye Taka Kugombea.Na Baadhi Ya Wajumbe Walichukua Fom.Uchaguzi Utafanyika Kesho J'mosi...
  18. Wa Igima

    Kufungua chuo au hospitali

    *********************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************************...
  19. Wa Igima

    Hubert Kairuki Memorial University

    Salaam Naitaji Msaada Kwa Yeyote Mwenye Kukijua Chuo Hiki. Kuna Jamaa Amenishauri Nikapige Pale Na Mimi Na Mpango Wa Kusoma Md Nina Ufaulu Wa Div Three Ya Point Kumi Na Tatu Pcb. Kwa Anaye Jua Jinsi Ya Kujiunga,ada Na Mazingira Msaada Tafadhari. Asalaam Aleykum
  20. Wa Igima

    Meta Secondari

    Kwa Wale Tulio Soma Meta Sekondari Karibu Hapa Tukumbushane Maisha Ya Kishule
Back
Top Bottom