Mweyekiti ACT-Wazalendo Mbozi aenguliwa

Mweyekiti ACT-Wazalendo Mbozi aenguliwa

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
Kichwa Kina Jieleza Hapo Juu.
Mkutano Wa Kumuengua Ulifanyika Katika Ukumbi Wa Shimoni Village Na Kuhudhuliwa Na Wanachama Akiwemo Katibu Wake Ambaye Aliongoza Mapinduzi Hayo.Na Nafasi Hiyo Ili Tangazwa Kwa Anaye Taka Kugombea.Na Baadhi Ya Wajumbe Walichukua Fom.Uchaguzi Utafanyika Kesho J'mosi Katika Ukumbi Wa Champion Mda Ni Saa Tisa Jioni.
 
mbona unakimbia hivyo, hebu tuambie ni kwa nini amepinduliwa?
 
Auaye kwa UPANGA naye atakufa kwa UPANGA uzuri wa dhambi ya USALITI huwa haiwabakizi lazima iwatafune wote waliyoifanya.
 
Kichwa Kina Jieleza Hapo Juu.
Mkutano Wa Kumuengua Ulifanyika Katika Ukumbi Wa Shimoni Village Na Kuhudhuliwa Na Wanachama Akiwemo Katibu Wake Ambaye Aliongoza Mapinduzi Hayo.Na Nafasi Hiyo Ili Tangazwa Kwa Anaye Taka Kugombea.Na Baadhi Ya Wajumbe Walichukua Fom.Uchaguzi Utafanyika Kesho J'mosi Katika Ukumbi Wa Champion Mda Ni Saa Tisa Jioni.

Atakuwa ametumwa na mbowe bora wamemtoa humo
 
Atakuwa ametumwa na mbowe bora wamemtoa humo

Sababu Za Kumvua Uongozi
Kuto Uzika
Ni Mchafu/hajipendi
Ulevi
Alipewa Cheo Kishkaji/hakuchaguliwa
Siyo Mtunza Siri
Yupo Ki Masilahi
 
Sababu Za Kumvua Uongozi
Kuto Uzika
Ni Mchafu/hajipendi
Ulevi
Alipewa Cheo Kishkaji/hakuchaguliwa
Siyo Mtunza Siri
Yupo Ki Masilahi

Ana itwa nani?na wewe unaandika utafikiri unafukuzwa na mapinduzi.
 
Sababu Za Kumvua Uongozi
Kuto Uzika
Ni Mchafu/hajipendi
Ulevi
Alipewa Cheo Kishkaji/hakuchaguliwa
Siyo Mtunza Siri
Yupo Ki Masilahi

Labda mtakuwa mlikuwa mnamuuza kwa bei kubwa ndiyo maana kashindwa kuuzika.
 
chama cha demokrasia asilimia 1000000% imekuwaje tena.

chama cha uwazi.

yaani mtu aenguliwe leo na kesho uchaguzi. duuuh.

ina mana hana haki ya kukata rufaa? ili baadae akishindwa ndo uchaguzi ufanyike.

taarifa za kufukuzwa kapewa saa ngapi.

kweli hiki chama cha wasaliti
 
Back
Top Bottom