Wa Igima
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 376
- 110
Mkutano huo utahusisha uzinduzi wa salon ya kiume iliyopo stendi ya malori mjini Vwawa na bodaboda mpya tatu. Miradi hiyo mipya ni miongoni mwa miradi ambayo tayari ilishazinduliwa miezi miwili iliyopita.
>Miradi inayomilikiwa na ACT Mbozi ambayo tayari ilishazinduliwa ni:
*Kikundi cha kukopesha fedha kwa riba chenye ofisi zake stendi ya makaburini mjini Vwawa
*Ng'ombe tisa wa maziwa
*Kiwanda kidogo cha kutengeneza samani kilichopo stend ya makaburini mjini Vwawa.
*Bodaboda tisa
-Na ijulikane kuwa miradi yote, shabaha yake kubwa ni kutoa ajira kwa wanachama na raia wote wa Tanzania kwa ujumla.