Wa Igima
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 376
- 110
Salaam wanajukwaa,
Najua wengi mtabeza sababu ya hizi nguvu za soda wengine mtasema kwanini asiwe Nyerere na wengine bado wamekariri kare kanadharia ka Mkapa ndio alikuwa bora akifuatia kutoka kwa Nyerere na wengine na ambao niwengi zaidi bado wanaamin Mwinyi hakuwa bora.
Nianz na list ya marais kwa kuzingatia ubora;
1* Jakaya Kikwete
2* Ally Hassan Mwinyi
3* Mkapa Benjamin William
4* Magufuli Pombe Joseph
5* Nyerere Julius
Sitaki kuwa msemaji peke yangu kwa hili, karibuni tuchangie.
Ukweli wa utafiti huu sio wote wataelewa leo, wengine nina uhakika wataelewa wakiwa wamekufa.