Search results

  1. D

    Wangapi mmewahi nufaika na online loan (mkopo) kutoka Tala

    Wakuu Sina mambo mengi, naombeni uhakika wa utoaji wa mkopo toka Tala online loan. Niko kwenye Mazingira ambayo nahitaji pesa na nimekutana na matangazo Yao online nikaona wanaweza kuwa msaada katika kipindi hiki nachokipitia. Vipi wakuu Hawa Tala online loan ni really au chqnga la macho
  2. D

    Ipitishwe Sheria ya ukomo wa watoto

    Tanzania ni miongoni mwa nchi ambayo fertility rate iko juu sana. Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2012 kila familia ilikisiwa kuwa na average ya watoto 5. Takwimu za kiuchumi mara nyingi zimeonya ongezeko la watu nchini haliendani sawa na ukuaji wa uchumi wetu na kusihi mamlaka husika kuchukua...
  3. D

    Wazazi wetu mnachokifanya sio haki

    Hello JF hebu njooni tusemezane ki-roho safi kabisa. Unakuta mzee alikuwa irresponsible kazaa watoto wengi na hakuhusika kuwajengea msingi wa maisha. Fainali inakuja uzeeni, amezeeka hana nguvu tena, wanaye wamemletea mzigo wa wajukuu nyumbani, halafu anaanza kumtegemea lets say kijana wake...
  4. D

    Usipokunywa pombe lugha nyingi huwezi kuzielewa

    Kati ya kauli ambayo hutumiwa na wanywaji ni ile inayosema "Tukutane Mtakuja Bar ili nikupe mchongo" Hivi michongo hiyo huwa ni ipi ambayo mtu akiwa hanywi pombe hawezi kupewa? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    Tanzania yashika nafasi ya 4 kwa nchi ambazo watu wake hawana furaha duniani (2019)

    Ripoti ya dunia ya nchi ambazo watu wake wana furaha ya mwaka 2019 imetolewa. Hapa chini ni nchi 10 bora ambazo raia wake wana furaha na zile amabazo raia wake hawana furaha. Kwa mwaka 2019 nchi amabazo wananchi wake wana furaha zaidi ni: 1. Finland 2. Denmark 3. Norway 4. Iceland 5...
  6. D

    Ni haibu kuwa na mchepuko usio na hadhi zaidi ya mpenzio

    Ukiamua kujilipua, make sure mchepuko unakua kisu hadi mpenzio akiuona yeye mwenyewe anakubali kimoyo moyo kuwa hapa ata angekua yeye ndo wewe asingeacha nafsi hiyo. Ni haibu kubwa sana mpenzio anakufumania afu akiucheki mchepuko ulivyo kituko anaanza kujiuliza ivi mpenzi wangu amenionaje ...
  7. D

    Je, ni kweli kila mtu amezaliwa kwa kusudi maalumu?

    Japo maisha sio kutafuta pesa tu , ila kwenye maisha yangu nimetafuta pesa kwa muda mwingi na mara nyingi ninapozipata, nazitumia katika mahitaji ya kila siku kula, kuvaa, kulala na kuzaa. Ila ndani mwangu hujiona as if kuna jambo kubwa zaidi ya niishivyo nalopaswa kulifanya. Coz it doesn't make...
  8. D

    Swaga za kiumeni juu ya ladies

    Uforgetable mistakes
  9. D

    Dear my Girl: Soma kwa umakini

    Just smile
  10. D

    Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

    Too much misunderstanding
  11. D

    Baba amenishangaza

    "Mwanangu ukitaka kufurahia maisha ya ndoa, katu usiwe na mke mmoja tu". Kisha akendelea , mke mmoja atapambana na wewe kila siku ila ukiwa na wawili watapigania wao kwa ajili yako kila siku. Kwa kufanya hivyo , maisha yako yatakua rahisi Kama refa uwanjani. Wakuu ebu naombeni uzoefu kwenye ili.
  12. D

    Masikini tukiweza ishi kama matajiri hapo ndo tutafanikwa

    Hello JF, Kuna andiko kwenye biblia linasema uangamivu wa masikini ni umasikini wao wenyewe, sikuwahi kulipa special attention ila sasa nimekua nimefahamu. Ukweli ni kwamba maisha ya masikini ndo sababu kubwa ya wao kuendelea kuwa masikini. Mtu masikini huoa masikini mwenzake, huzaa watoto na...
  13. D

    Napendaga swaga za Malaya ila mpenzi wangu sitaki awe Malaya

    She knows how do dance
  14. D

    Siri hii nani aliifahamu Kabla? kweli Mungu Fundi

    The art of orgasm
  15. D

    Wakuu ninakwama wapi? Mbona uaminifu wangu haunilipi ?

    Leo nianze kwa salaam iliyoanza kusahaulika humu ndani, Igweeeeeeeeeeerre!!! This is grand weekend, Mambo ni mengi ila naomba mpumzike responsibly. By background ni mtu niliekulia kwenye moja ya mji mdogo kaskazini magharibi mwa nchi yetu, kwenye familia ya chini kiuchumi na inayoongozwa na...
  16. D

    Bad News kwa MMU

    Leo sitowasalimia coz nachoenda kuwahabarisha hakitawaacha wengi salama. Briefly, hakuna mwana MMU asiyependa sex....ile tu kupitia conner hii inaonyesha umeshawahi au unapanga kucheza na kushiriki mchezo huu pendwa. The Bad New ni kwamba " wanasayansi wamebaini kuwa kupenda kufanya mapenzi...
  17. D

    Hivi hii dhana uwa inaukweli?

    Wakuu poleni kwa majukumu Leo naomba tusaidiane kuhusu dhana hii ambayo kimtindo ipo mtaani kwa sana tu. Dhana yenyewe ni hii " Eti kila mtu katika safari ya maisha yake huwa ana Boom season" Ufafanuzi: Dhana hii inatanabahisha kuwa kila mtu kwenye safari ya maisha Kuna kipindi lazima pesa...
  18. D

    Default ya uumbaji chanzo cha uchepukaji kwa wanaume

    Salaam Jf Siku zinaenda, umri unasonga na uzoefu unajengeka. Kama mwanamme halisi... uzoefu unanionyesha hata chanda kiwe hot kiasi gani, ukipita ule muda wa fantasy period anakuwa wa kawaida sana hata hakushitui Mtaani pote mabaharia wanapiga salute kwa ukaliiiii wa chombo chako ila kwako...
  19. D

    Sababu ya kwa nini wewe bado ni masikini

    Salaam Jf, Niruhusu niwe sehemu ya baraka katika Jmosi ya leo. Kwa siku kadhaa zijazo nitakushirikisha mambo ya msingi ambayo yamekufanya mpaka leo uendelee kuwa masikini. Umaskini ni adui wetu namba moja ukiacha ujinga na malazi ambao tunapaswa kuwashinda Kama mtu mmoja mmoja na Kama taifa...
  20. D

    Ukiwa kilaza usioe: hakika utakufa mapema

    Salaam kwa wote Leo Sina maneno mengi. Ninawataalifu tu wanaume kama sehemu ya maangalizo yaliyosisitizwa kwenye kikao chetu cha wanaume last week. Kama wewe ni kilaza please usije ukakaa kufikiria kuoa. Biblia iko wazi kabisa ....imetuhasa kuishi na wanawake kwa akili....!!!, Hivyo ukiingia...
Back
Top Bottom