Sababu ya kwa nini wewe bado ni masikini

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Salaam Jf,

Niruhusu niwe sehemu ya baraka katika Jmosi ya leo. Kwa siku kadhaa zijazo nitakushirikisha mambo ya msingi ambayo yamekufanya mpaka leo uendelee kuwa masikini.

Umaskini ni adui wetu namba moja ukiacha ujinga na malazi ambao tunapaswa kuwashinda Kama mtu mmoja mmoja na Kama taifa kiujumla.

Leo nitaanza na sababu ya Kwanza kwa nini wewe bado ni masikini mpaka leo:

1 : reason:

"Unatumia pesa zaidi ya unayoitengeneza".

Kifupi utajiri ni kuwa na ziada. Ikiwa kwa namna moja au nyingine unatumia zaidi ya unachokikusanya your net gain ni uhitaji kitu kinachoakisi hali ya umasikini ulio nao mpaka leo.

Kwa vyovyote vile uwe na vingi ama vichache daima ishi kulingana na kipato chako na hakikisha unatengeneza pesa zaidi kwa ajili ya kesho yako.

Ukitaka kuwa masikini daima endekeza tabia ya kutumia chote ukipatacho au zaidi ya ukipatacho

Tukutane next thread....

Usiache kutoa maoni yako.
 
use and god `ll give,hata watu wote wakifuata hayo maelekezo yako bado watakuwepo na masikini na matajiri sababu mifumo ya dunia haiitaji wote muwe matajiri
 
Okay wewe inajua hilo
Sasa mbona ni Maskin mpaka leo tuko wote hapa kwenye nyumba ya kupanga..
Best let me suggest the most succes ni life.
A person must have more than one source of income e.g. farming, Apartment for renting, and other Bussiness.
Huyo laxima atakuwa tajir bcoz anahigh level ofa Saving for future investment..
 
sio kweli kabisa hizo theory tu, basic needs zinasidi mapato sas hapo utafanyaje zaidi ya kuongeza biddii tu mapato yawe makubwa kuliko basic needs
 
use and god `ll give,hata watu wote wakifuata hayo maelekezo yako bado watakuwepo na masikini na matajiri sababu mifumo ya dunia haiitaji wote muwe matajiri
Thanks
Ila Kama unataka kuwa tajiri kanuni hii hutokaa uikwepe

Earn more, use less
 
Okay wewe inajua hilo
Sasa mbona ni Maskin mpaka leo tuko wote hapa kwenye nyumba ya kupanga..
Best let me suggest the most succes ni life.
A person must have more than one source of income e.g. farming, Apartment for renting, and other Bussiness.
Huyo laxima atakuwa tajir bcoz anahigh level ofa Saving for future investment..
Good
Get more, use less
 
Mimi ninavyo jua katika maisha kinachofanya mtu kufanikiwa ni malengo ambayo yeye mwenyewe anajipangia kwa mda flani na pili ni uwezo wa mtu kuweza kujua ni namna gana atayafikia hayo malengo kwa mfano muda na taarifa ( data) ni kitu muhimu wakati wa kupanga malengo (goals).
 
Ukitaka kujua wewe ni maskini tazama wa nyuma yako!
 
Katika andiko la Kwanza tulisema sababu ya kwanza ni kuwa unatumia pesa zaidi ya unayoitengeneza.

Leo tuendelee

2nd reason: unajali furaha ya Leo kuliko uhuru wako wa kiuchumi wa kesho.

Je uko tayari kuishi nyumba ndogo yenye ghalama nafuu ili usave pesa na kuwekeza ili kesho yako iwe Bora?

Je uko tayari kutumia usafiri wa daladala au mwendo Kasi na kuepuka kuchukua mkopo kununua gari amabalo ni full liability na kukufanya kuingia kwenye mkopo mbaya?
Na badala yake mkopo huo ungeuingiza kwenye shughuli za uzalishaji ili kutengeneza your future financial freedom!

Je uko tayari kuhairisha ratiba za outing kwa muda flani ili kutengeneza financial stability kwa ajili ya kesho yako?

Nachotaka kusema ni kuwa ikiwa wewe ni masikini na bado hauwezi kijinyima kwa raha za leo kwa faida ya kiuchumi ya kesho itakufanya kuendelea kuwa masikini.

Utajiri is generational....ujengwa kwa hatua na na sucrifice nyingi kwa malengo ya badae.

Ukiwa umezaliwa ukoo masikini Basi isiwe sababu ya ukoo wako pia kufa masikini. Jinyime furaha ya leo kwa faida ya kesho

Tukutane next time....
 
Najua uneshafuatilia maandiko yaliyotangulia.

Ngoja tuendelee....

Sababu ya 3: haujilipi kwanza wewe

Iko hivi ukifanya kazi na kupata ujira uwao wote. Jambo la kwanza lazima ujilipe kwanza wewe kabla ya kulipia mambo mengine.

masikini wengi wakishika pesa tu Jambo la kwanza ni kuanza kulipa madeni na kufanya matumizi ambayo amekua akitamani ayapate.
Atanunua nguo, chakula, na kupanga kwenda kufanya starehe ambazo huisi amezikosa kwa muda mrefu . Baada ya siku tatu anashituka pochi haina kitu, na anarudia Tena mzunguko wake wa umasikini.

Ili kuepuka ili jifunze kila unapopata pesa jilipe kwanza wewe. Hapa namaanisha lazima utenge kiasi cha hakiba kwa kila pesa inayopita mkononi mwako, haijalishi ni fedha kidogo namna gani imepita mikononi mwako.

Ukifanikiwa nidhamu hii....kesho yako kiuchumi itakua nzuri sana.

Kind regards

Tukutane katika andiko lingine.
 
Watu wanaojinyima/kubana matumizi huishi maisha yasiyo na furaha
 
Yaani hapa kwenye kujilipa ndio sijakuelewa bado ninajilipa kiaje eti?
 
Back
Top Bottom