Ukiwa kilaza usioe: hakika utakufa mapema

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Salaam kwa wote

Leo Sina maneno mengi. Ninawataalifu tu wanaume kama sehemu ya maangalizo yaliyosisitizwa kwenye kikao chetu cha wanaume last week.

Kama wewe ni kilaza please usije ukakaa kufikiria kuoa.

Biblia iko wazi kabisa ....imetuhasa kuishi na wanawake kwa akili....!!!, Hivyo ukiingia kwenye ndoa na ukilaza wako yafuatayo yaweza kukutokea:

Utauliwa mapema

Utafirisiwa

Utakosana na ndugu zako huku ukifanywa ATM na ndg za mwanamke

Utafukuzwa kazini ikiwa utakosa umakini
Coz K za wanaweke wengine zina mikosi

Utahasi dini coz lazima utakuwa mnafiki in which in long run "huendi mbinguni"

Mengine mmalizieni coz madem tunawapenda ila mziki wake hadi shetani anaugwaya..... X X X

# Tukutane kwenye kikao cha jmosi ya mwisho ya mwezi kupata maelekezo mapya kutoka chama cha wanaume
 
Hivi wewe ni mwanaume au mvulana?
 
Kumbe! Nilikuwa sijui ambao hawajaoa ni vilaza
 
Back
Top Bottom