Ni haibu kuwa na mchepuko usio na hadhi zaidi ya mpenzio

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,314
1,366
Ukiamua kujilipua, make sure mchepuko unakua kisu hadi mpenzio akiuona yeye mwenyewe anakubali kimoyo moyo kuwa hapa ata angekua yeye ndo wewe asingeacha nafsi hiyo.

Ni haibu kubwa sana mpenzio anakufumania afu akiucheki mchepuko ulivyo kituko anaanza kujiuliza ivi mpenzi wangu amenionaje ???? ( Inawauma sana wanawake kudhalilishwa kwa mmewe kutoka na substandard chick)

Salaam zangu tunapoelekea mwisho wa mwaka 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa kama mkeo harrier old model basi jitahidi uadvance hata kwa harrier matako ya nyani( new model)
Heshima mlima asee na ilivyobinuka nyuma ni full heshima
 
Back
Top Bottom