Search results

  1. andrewk

    Uingereza yaitaka Tanzania kupinga kitendo cha Urusi kutumia kemikali za sumu

    Kwenye mahusiano ya kimataifa kila MTU ana Uhuru wake
  2. andrewk

    The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.

    Nadhani tuna tatizo mahali, iko master plan ya railway ya east Africa sijui kama bado iko kwenye mipango ya utekelezaji
  3. andrewk

    Hatma ya Jerusalem: Tanzania yapingana na Trump UN

    Kwanini tuwe neutral! Nchi INA maamuzi yake, tena nadhani Trump aliharibu zaidi alipotishia kuzinyima misaada
  4. andrewk

    Hatma ya Jerusalem: Tanzania yapingana na Trump UN

    Tanzania ni nchi INA maamuzi yake
  5. andrewk

    Mgogoro wa TTCL na Bharti Airtel: Airtel yauza Minara 1,350 kinyemela

    Multinational companies huwa ni shida kama hamjipangi vyema ndani
  6. andrewk

    Clouds 360: TRA wamelipwa kodi zote magari 44 aliyokamata Waziri Mkuu kinachodaiwa ni storage ya TPA tu!

    Hapo ndipo nchi inapochafuliwa, na hao wafanya biashara wanatumia connection zao hadi ndani ya nyumba
  7. andrewk

    Clouds 360: TRA wamelipwa kodi zote magari 44 aliyokamata Waziri Mkuu kinachodaiwa ni storage ya TPA tu!

    Waziri mkuu alizungumzia pia ujanja wa kulipa 30% kwa mnunuzi na kisha kuingia mitini, hilo wamelizungimzia?
  8. andrewk

    Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Wengini ni huku mabarabani, ukikuta mwenzako anatatizo simama japo kumsikiliza tu.....
  9. andrewk

    Basi gani zikitoka Mwanza zinafika Dar bila kulala Morogoro?

    Fastjet, atcl na precision, kwa mabasi hakuna na 50! Zilizopo
  10. andrewk

    Video fupi ikionesha kiwanda kinavyotengeneza hela Uswiss

    Mkuu swala LA kutengeneza hela sio kila nchi inafanya kivyake, suala LA security kwenye noti ni kitu muhinu sana..... Historically hao jamaa wa uswis wamekuwa wakifanya kazi hiyo muda mrefu sana na ndio maana sehemu kubwa ya uchumi wao hugegemea vitu kama hivyo na utengenezaji wa saa
  11. andrewk

    Ajali Morogoro: Magari mawili yagongana uso kwa uso na kupelekea vifo vya watu wanne

    Nimepna hayo magari, nadhani wa fuso alila akamfuata mwenzake, in kwenye mteremko karibu na kona ya mzumbe
  12. andrewk

    TANZIA Mtangazaji Violet Mzindakaya amefariki

    Pole sana ndugu na jamaa wa karibi na watanzania walijuwa wanamfahamu
  13. andrewk

    UPDATES: Madhara ya mvua inayoendelea kunyesha Tanzania katika picha

    Mbona walisema kama one month ago kuwa kutakuwa na mvua kubwa
  14. andrewk

    Magavana wa Benki Kuu za Afrika Wakutana TZ Kuijadili "Yuan!"

    Unajua wachangia hapa wanaprnda nini zaidi
  15. andrewk

    AIBU: Waalikwa Ikulu kuinuka na kutaka kuondoka kabla hata Rais hajainuka ni aibu

    Mkuu kufanya kazi na ikulu lazima waandaliwe, wajue taratibu za pale, na sehemu nyingine .....kama nikivyosema protocol ni funi, watakuwa jufunza
  16. andrewk

    AIBU: Waalikwa Ikulu kuinuka na kutaka kuondoka kabla hata Rais hajainuka ni aibu

    Hawajaandaliwaaaa.....protokali ni taaluma mkuuu
Back
Top Bottom