Clouds 360: TRA wamelipwa kodi zote magari 44 aliyokamata Waziri Mkuu kinachodaiwa ni storage ya TPA tu!

Lakini PM alisema supplier anamdai mnunuzi kwani kalipa 30% ya thamani ya mzigo na bado hajakabidhi Bill of Lading. Sasa TRA walikaguaje mzigo na kusajili bila kuwa na BL? Kuna tatizo mahali, tujipe muda.
 
Hapo ndipo nchi inapochafuliwa, na hao wafanya biashara wanatumia connection zao hadi ndani ya nyumba
 
Hilo ndio la msingi...maana kwa uhalisia.....kama yule bwana hakulipwa 70% maana yake...documents zilikuwa directed to bank......., ili atakapolipa hiyo 70% bank wam-release hizo dicuments.
sasa hapa mawili;-
1. Either jamaa aliongea/aliaminiana na bank, wakampa pasipokupokea hiyo 70%, ili awape baadae...na pasipo kumjulisha muuzaji (hili ni kosa) bank wanatakiwa kuwajibika kama walifanya hivyo.
AU
2.Walienda kwa wakala wa meli...na kumrubuni mtu...ionekane original BL iko surrenered tayari...ili wakala wa meli nae ampe ruhusa ya kutoa mzigo, kwa kumpa document inayoitwa "DELIVERY ORDER". Hii utolewa baada ya ku-surrendaer orognal BL. na hii ndio inaambatanishwa na uthibitisho wa malipo ya kodi...ndio upewe hizo port charges.
Kwa mantiki hiyo....hapa kwenye tatizo, ukiachilia mbali wahusika...then BANK au WAKALA WA MELI wamo.
Umefafanua vizuri sana Mkuu. Mtego ndipo hapo ulipo...
 
Shida aliye uza hayo magari 44, Mturuki
Haja lipwa 70% ,
Acheni wizi na utapeli,
Bado mnachezea Serikali, ningekuwa Rais ningekuwa nilisha wakata watu vichwa, JPM Ni mvumilivu sana.
Ilitumika Bill of Landing katika taratibu za kulipia kodi hizo tela
 
Nipo naangalia kipindi cha clouds 360 na namsikia mmoja wa watangazaji wake ndugu Ngoma akidai kwamba amewasiliana na TRA kuhusu yale magari yaliyoibuliwa jana na PM.

Ngoma anasema kwa mujibu wa mtoa taarifa wa TRA ni kwamba kodi zote zinazohusika zilishalipwa na ndio maana wao ( TRA) wameshatoa kadi za magari yote. Amesisitiza msemaji huyo kwamba kinachobishaniwa pale storage cost ambazo kimsingi ni swala la TPA na kwamba kuna punguzo la kisheria ambalo NAS wanadhani wanalistahili.

Source kipindi cha Clouds 360, Clouds Tv.
Waziri Mkuu alienda mbali zaidi...hawajawalipa walioleta hayo magari asilimia 70 ya deni lao. Wamelipaje TRA bila kuwa na original documents? Unless kuna kitu kinafichwa ila Waziri Mkuu alisema tatizo liko wapi...hawataki kuleta shida za kibiashara na Turkey.

Hawa waarabu wengi ni dhulumati sana. Kuna siku kila mfanyabishara atawekwa wazi ili dunia ijue kama wanaonewa au la
 
Nahisi tatizo lililopo ni kuwa kutokana na serikali yenyewe kupenda kusifiwa ..karibu wafanyakazi waliowengi wanaishi kwa kutaka kujipendekeza including TISS..habari ikipatikana hata kama ni ya umbea mtu anavuta waya au anatoka mbio kwenda kuifikisha kwa mkubwa ikiwa bado ya moto ili asifiwe..hata kama haijachunguzwa vizuri!matokeo yake ni aibu tu baadae!
 
Lakini PM alisema supplier anamdai mnunuzi kwani kalipa 30% ya thamani ya mzigo na bado hajakabidhi Bill of Lading. Sasa TRA walikaguaje mzigo na kusajili bila kuwa na BL? Kuna tatizo mahali, tujipe muda.
Wenye Mzigo ni shipping line,ndio wenye kuhusika Na BL original ,Tra wao wahusika Wa kodi ,ya serikali tu.Na TPA ni walinzi Wa Mzigo,IPO hivi:Ukiagiza Mzigo unapewaa BL original ambayo unapeleka shipping line unapewa karatasi inayoitwa D.O,ambayo ndio unayoweza kutolea Mzigo bandalini,ila hii BL original hupewi(kutumiwa)ila kopi anaweza kakutumia lakini kopi inafanya kazi Tra,Na TPA(icd) mpaka Uwe umekamilisha malipo yote kwa mwenye Mali ndio original Unapata,ila kwa vile mambo mengi unaweza kuchekecha Unapata hii D.O.(Yani hii d.o ndio Mzigo wenyewe kwa ufupi) pale inavyoonekana ni suala la TPA Na nas ,ambapo ni malipo ya kuhifadhi tu (storage) TPA hawaangalii kodi ya serikali.
 
Kila kitu wanapenda kukikuza kwenye media ilimradi ionekane kuna uzembe ama kasoro hizi na hizi waonekane ni watendaji lakini hamna kitu.

Kama ni mapungufu ya storage cost ni suala la dogo tu la kumaliza procedures ili hayo magari kutolewa.
 
Lakini PM alisema supplier anamdai mnunuzi kwani kalipa 30% ya thamani ya mzigo na bado hajakabidhi Bill of Lading. Sasa TRA walikaguaje mzigo na kusajili bila kuwa na BL? Kuna tatizo mahali, tujipe muda.
Kuna mtu kasema walitumia photocopy ya BL!
 
Wenye Mzigo ni shipping line,ndio wenye kuhusika Na BL original ,Tra wao wahusika Wa kodi ,ya serikali tu.Na TPA ni walinzi Wa Mzigo,IPO hivi:Ukiagiza Mzigo unapewaa BL original ambayo unapeleka shipping line unapewa karatasi inayoitwa D.O,ambayo ndio unayoweza kutolea Mzigo bandalini,ila hii BL original hupewi(kutumiwa)ila kopi anaweza kakutumia lakini kopi inafanya kazi Tra,Na TPA(icd) mpaka Uwe umekamilisha malipo yote kwa mwenye Mali ndio original Unapata,ila kwa vile mambo mengi unaweza kuchekecha Unapata hii D.O.(Yani hii d.o ndio Mzigo wenyewe kwa ufupi) pale inavyoonekana ni suala la TPA Na nas ,ambapo ni malipo ya kuhifadhi tu (storage) TPA hawaangalii kodi ya serikali.
Mkuu na utaratibu wa kusajili gari hadi kupewa kadi ukoje?!!
 
Hilo ndio la msingi...maana kwa uhalisia.....kama yule bwana hakulipwa 70% maana yake...documents zilikuwa directed to bank......., ili atakapolipa hiyo 70% bank wam-release hizo dicuments.
sasa hapa mawili;-
1. Either jamaa aliongea/aliaminiana na bank, wakampa pasipokupokea hiyo 70%, ili awape baadae...na pasipo kumjulisha muuzaji (hili ni kosa) bank wanatakiwa kuwajibika kama walifanya hivyo.
AU
2.Walienda kwa wakala wa meli...na kumrubuni mtu...ionekane original BL iko surrenered tayari...ili wakala wa meli nae ampe ruhusa ya kutoa mzigo, kwa kumpa document inayoitwa "DELIVERY ORDER". Hii utolewa baada ya ku-surrendaer orognal BL. na hii ndio inaambatanishwa na uthibitisho wa malipo ya kodi...ndio upewe hizo port charges.
Kwa mantiki hiyo....hapa kwenye tatizo, ukiachilia mbali wahusika...then BANK au WAKALA WA MELI wamo.
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu!
 
Nipo naangalia kipindi cha clouds 360 na namsikia mmoja wa watangazaji wake ndugu Ngoma akidai kwamba amewasiliana na TRA kuhusu yale magari yaliyoibuliwa jana na PM.

Ngoma anasema kwa mujibu wa mtoa taarifa wa TRA ni kwamba kodi zote zinazohusika zilishalipwa na ndio maana wao ( TRA) wameshatoa kadi za magari yote. Amesisitiza msemaji huyo kwamba kinachobishaniwa pale storage cost ambazo kimsingi ni swala la TPA na kwamba kuna punguzo la kisheria ambalo NAS wanadhani wanalistahili.

Source kipindi cha Clouds 360, Clouds Tv.

Sasa jina la Waziri mkuu lilikuwa linatumika vibaya kwa nn! Upuuzi mwingine huu
 
nahisi tatizo si ushuru wa forodha,hiyo inaweza kuwa secondary lakini kama umesoma magazeti ya leo ,ni kwamba muagizaji ana tatizo na muuzaji wa Uturuki.Bado anadaiwa kule na muuzaji amelalamika.Hebu wajuzi wa mambo haya mfuatilie mtupe kile cha uhakika alichosema mkuu.
 
Waswahili wanasema "ukiona choo tondoni usijisaidie" asubuhi utajikuta umeshajikojolea na kujinyea.....angalia jinsi serikali yenu inavyoumbuka kila siku kwa ajili ya kukurupuka

Bado kuna tatizo kubwa kwani kutokana na maelezo ya PM ni kwamba hawa NAS walilipa 30% kwa ahadi ya kuwa wangelipa 70% iliyobakia pale meli ingeingia nchini na hivyo kuwawezesha wenye mali kurelease BL ili process nyingine za malipo ziendelee. Lakini kama uliangalia vizuri kwenye ile ziara kulikuwa na mwakilishi wa balozi wa uturuki[ hii ni kuthibitisha kuwa jamaa hawakuwalipa wenye mzigo na wao walilalamikia ubalozi wao.

Matajiri wengi wa magari mjini huwa wanaagiza magari[hasa used] halafu wanajifanya kuwa hawana uwezo wa kulipa kodi[wakishirikiana na wanamtandao wao] halafu hayo magari yanapigwa mnada kiaina ambapo mwisho wa siku jamaa hao hao ndiyo wanaununua mzigo kwa bei ya kutupa.

Mfano mzuri ni kwamba hata wafanyakazi wa TRA wengi wana magari zaidi ya 5 wakiwa wamenunua kwa staili hiyo.
 
Back
Top Bottom