Uingereza yaitaka Tanzania kupinga kitendo cha Urusi kutumia kemikali za sumu

Kwaani sisi walipompiga doctor shika weingereza walitupa hata pole, hapo kuna kamtego wapambane na hali yao,, wao waingereza wanamtafutia Mr purtin sababu kwaajili ya kombe la dunia mda umewapa mkono wao weingereza ndo waliomuua wala wasijifanye wanamtafuta mchawi
 
Warusi ni wapuuzi sana. Dunia ya leo assassinations zimepitwa na wakati no matter mhusika alifanya kosa gani. Anyway, tabia za madikteta ndivyo zilivyo tangu kale kuanzia na yuke wa NK, Putin, na wengineo hadi Afrika huku. Wao wanachowaza ni kuuwa kuuwa kuuwa na kujeruhi tu.
Waingereza wanafiki, kwa hiyo wanaamini Tanzania ana moral ya kupinga hilo. Wanajifanya hawajui yanayoendelea humu ndani kisa , BG , na puma, zipo Salama?.
 
Hujui unachoandika wewe Zuzu! Hao Waingereza ni waoga sana! Na wewe acha upuuzi zungumzia mambo unayoyajua! Wao hawana ulinzi wa kutosha? I am asking you kwa nini wakimbilie NATO Ufaransa na Marekani? Russia imewaomba watoe hiyo sample of course hawana sample kwa sababu Novichok it’s a derivative it’s not a single compound ni lazima uchanganye chemical zaidi ya mbili and it’s very lethal than sarin and VX. Baada ya kutumika kwa watu it’s very difficult to manage and death is imminent, the only difference is that it kills you slowly! Huwa antidote yake it’s time based! The big question is that wanatakiwa au wampeleke yule double agent Urusi akatibiwe ! Ndio maana wanasema hawataki kujibu kwamba ni ya kwao au la? That chemical weapon was developed in the 1980’s sasa unamhukumu mtu bila ushahidi hata mahakama ya kangaroo ya Tanzania inaweza kuona huo udhaifu wa Western Countries ! Wewe una waita wapuuzi are you mad? Wameweza kichakachua uchaguzi wa Marekani one down the road Democrats and Mr. Muller wanajiharishia and no ushahidi wa cyber !na hata France and you keep on baby sitting? Mwanaume wa vita yule. You ask the Germans they got a bloody hiding !Ukimwona simba kalowa usimuute paka we! Because you have no ability to get information from the other side unaunga mkono kama zuzu! Huyo Russian ex-spy Sergei Skripal, 66, was a snitch alikuwa double agent and he deserve death but they postponed his death so that a spy swap could take place sasa baada ya kutumia toilet paper si unatupa chooni! He is a traitor and time for payment ilikwisha fika! May be huyo binti yake (Yulia Skripal, 33, )alipewa zawadi ya vodka from Moscow anointed with one part and the other portion might have just been a piece of chocolate who knows what was the mixture. CIA and M16 who got information from him they have to crack their heads to solve the riddle! That is “Novichok” what about the invincible missile? Unachunguza wewe unahukumu wewe what a shame that portrayal of the highest degree of incompetence. Of course everybody’s life is important and equal to mine lakini let us reason carefully wale British wangefanya uchunguzi wao conclusively even using a third party and come to a credible conclusion ! Unawapa a superpower that can shake the US an ultimatum of 12 hours and expect compliance do you think Russia is a banana Republic or shithole like Tanzania! Shika adabu yako na ijishike pambafu!
Uko wapi mkuu
 
jamani mambo yao huko sisi yanatuhusu nini...???..wailete kwanza hiyo sumu wanayoilalamikia kwa wakemia wetu wajiridhishe ndio tutoe tamko la kuwaunga mkono....
vinginevyo tusimame kwenye ya kaisari tumuachie kaisari........
 
Warusi ni wapuuzi sana. Dunia ya leo assassinations zimepitwa na wakati no matter mhusika alifanya kosa gani. Anyway, tabia za madikteta ndivyo zilivyo tangu kale kuanzia na yuke wa NK, Putin, na wengineo hadi Afrika huku. Wao wanachowaza ni kuuwa kuuwa kuuwa na kujeruhi tu.

Tusiwe wepesi kukimbilia mahitimisho...dunia ya mabeberu ni zaidi yatuijuavyo.
 
Warusi ni wapuuzi sana. Dunia ya leo assassinations zimepitwa na wakati no matter mhusika alifanya kosa gani. Anyway, tabia za madikteta ndivyo zilivyo tangu kale kuanzia na yuke wa NK, Putin, na wengineo hadi Afrika huku. Wao wanachowaza ni kuuwa kuuwa kuuwa na kujeruhi tu.
Nadhani umgeni na haya mambo ya hila kiusalama za haya mataifa makubwa pia ukumbuke Mrusi hadi kushinda kuandaa World Cup kafanyiwa hujuma nyingi na bado zina endelea tuwape muda
 
Vilevile, Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May ametangaza kwamba hakuna waziri yeyote au mtu yeyote kutoka familia ya kifalme atakayehudhuria kombe la dunia linalotarajiwa kufanyika Juni mwaka huu huko Urusi.


HII NDO MAIN POINT.
waondoe na timu yao sasa
 
Dar es Salaam. Serikali ya Uingereza imeitaka Tanzania na Jumuiya ya Kimataifa kuiunga mkono katika kupinga kitendo cha Urusi kutumia sumu aina ya Novichok katika jaribio la kumuua Sergei Skripal na binti yake, Yulia.

Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita huko Salisbury, Uingereza na kwa sasa Skripal na Yulia wana hali mbaya hospitali.

Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo, Machi 16, Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke amesema nchi yake haitavumilia majaribio yoyote ya mauaji ya watu wasio na hatia ndani ya ardhi yake.

Cooke amesisitiza kwamba ni wazi Urusi ilihusika kwenye jaribu hilo na walipewa nafasi ya kujieleza kwanini waliamua kutumia sumu hiyo ndani ya Uingereza licha ya kwamba matumizi ya kemikali kama silaha ni kinyume cha sheria za kimataifa, hata hivyo, mpaka sasa hawajatoa maelezo kuhusu suala hilo.

“Baadaye leo nitaonana na waziri wa mambo ya nje ili kumweleza kuhusu jambo hili na kuomba ushirikiano wa Tanzania. Ninaamini Tanzania iko pamoja nasi katika hili,” amesema balozi huyo katika mkutano wake na vyombo vya habari.

Mpaka sasa Uingereza inaungwa mkono na Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Austalia na Umoja wa Kujihami wa Nchi za Magharibi (Nato). Pia, imeripoti suala hilo kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Tukio hilo linatishia uhusiano wa kidiplomasia kati ya Uingereza na Urusi.

Mpaka sasa Uingereza imechukua hatua mbalimbali ikiwamo kuwatimua maofisa 23 wa intelijensia wa Urusi nchini humo. Pia, Uingereza imefuta ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov.

Vilevile, Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May ametangaza kwamba hakuna waziri yeyote au mtu yeyote kutoka familia ya kifalme atakayehudhuria kombe la dunia linalotarajiwa kufanyika Juni mwaka huu huko Urusi.


Chanzo: Mwananchi

Huyu balozi na maafisa wao wanaopeleka kila kukicha taarifa mbaya ya nchi yetu kwenye Jumuiya ya kimataifa Leo wanakuja kupiga Magoti wasaidiwe na serikali ya Rais Rouge? Waende zao huko.
Kwanini Urusi wasituazime hiyo sumu yao nasi tutumie kuwashughulikia wasaliti wa nchi yetu.
Sisi tuwaunge mkono Urusi.
 
Enheee hapa ndiyo tutaona undumilikuwili wa viongozi wetu, wasipounga mkono Itakula kwetu, wakiunga mkono maana yake tunaipoteza urusi ambayo haina mchango wowote kwenye uchumi wetu, hahahaha patamu sana hapo
Wale vijana wanao enda kusoma tangia enzi huko urusi!? Tatizo akili zetu zina amini umagharibi ndiyo kila kitu Kumbuka cha kupewa hakishibishi na ukipewa lazima utakuja kukilipa kwa namna yeyote ile, ugomv wao sisi hautuhusu, chunga njaa zako mzee utakuja kumpoteza rafik wa kwel kwa tumbo lenye tamaa ya chakula cha shikamoo
 
Serikali yetu yenyewe inaua watu, kwanini isiiunge mkono Urusi?
Hii serikali wameshaiweka kwenye target zao, ila inatafutiwa sababu nzuri zaidi yenye maslahi yao ili isije wakaonekana kuwa wanatuingilia mambo yetu ya ndani.
It's an offer they canr refuse. Ukiona hivyo ujue tayari serikali ipo mikononi mwao na kinachofanyika sasa ni kuipigisha magoti kinguvu tu. Hamjiulizi? Kenya inazidi kuimarika ki7chumi, inanawili kidiplomasia huku sisi tukiwekwa kundi moja na Burundi na Kongo!!?
 
Sisi ni Taifa lisilofungamana na upande wowote hivyo tunaangalia tu bila kusimamia upande
 
Nchi za Magharibi zinatia aibu sasa; wao wanaingilia chaguzi zao, wao watu wanafanya assassinations kwenye nchi zao, wao wanaonewa na Urusi na China.. what on earth happened to them?
Wanataka tu ku take note who’s with them and who isn’t! Moves zao huwa zinakuwa determines na intelijensia yao!

Mfano labda wanafahamu juhudi za Russia kujitanua zimefika wapi. Or maybe wanataka tu kuzimark nchi za kuzishughulikia kwenye kampeni yao. The trend is “the new era of Cold War”

Maybe kuna nchi sisi included tumeanza mawasiliano flani na warusi, so they become alerted etc
 
Warusi ni wapuuzi sana. Dunia ya leo assassinations zimepitwa na wakati no matter mhusika alifanya kosa gani. Anyway, tabia za madikteta ndivyo zilivyo tangu kale kuanzia na yuke wa NK, Putin, na wengineo hadi Afrika huku. Wao wanachowaza ni kuuwa kuuwa kuuwa na kujeruhi tu.
uingereza hajaprove hiyo ishu ni assumption tu uckute kahusika muingereza ili achafue urusi
 
Back
Top Bottom