PANAMA: Balazi wa Marekani ajiuzulu asema hawezi kumtumikia Trump

Sawaaa.sijakataa.
ILA KUNA SEHEMU TRUMP KAMTAJA KIONGOZI YEYOTE.?kasema waafrika.kajumuisha na wewe ukiwemo.
Kahiita afrika shithole.na wewe unaishi afrika.umezaliwa afrika.na wazazi wako na babu wote ni waafrika.akitukanwa magufuli na kagame.ndo umetukanwa wewe na Mimi na wazazi wetu.kama wewe haukumpigia kura magufuli.kuna mama ako au baba ako.atakuwa amempigia kura.na ndio kura yake imesaidia kumuweka magufuli madarakani.
SASA AKITUKANWA MAGUFULI JUA NA WEWE HUMOOO.
afrika kweli ina matatizo.
ILA SIO SABABU YA KUTUKANWA.
Na pia hilo zezeta zee aliye punguani amejua kwamba AFRICA watu wanaamka sasa Ana jaribu kutu nenea vibaya!
Dadeki yeye na familia yake ndiyo mazezeta haswa!
 
Haujui thamani yako.
Huyo balozi ameona thamani yako na bara lako la afrika.akaamua kuonyesha hisia zake juu yako na bara lako LA afrika.lakini wewe mwenyewe unayetetewa huna habari.haujitambui.unatukanwa una furahia na kutetea.
MNAHITAJI MAOMBI VIJANA WENZANGU.
Kweli tupu!
 
Kuna mmoja hapa kwetu ambae ni mteule wa mkubwa kwenye moja ya mikoa ya huko kaskazini, aliambiwa hadharani kuwa ni mpumbavu, na akabaki anajichekesha tu wallah
 
Amka.hata siku moja usiwe upande wa MTU mweupe.
Leo hii mzee Mandela angefufuka angeona ulichoandika angelia sanaaa
Badala ya kujadili ujinga na upumbavu wa viongozi wa Afrika unajadili matusi ya Trump yanayo thibitishwa na matendo yetu!

Mkapa aliwaita Watanzania wapumbavu mkashangilia majukwaani badala ya kukasirika.

Akina Mramba waliwaambia Watanzania mtakula nyasi lakini ndege ya rais lazima inunuliwe wala, wala hamkuonesha ghadhabu.

JPM kila mara hutukana Watanzania nyie mnashangilia badala ya kuonesha kukerwa.

Rais alisema wakosoaji wa rais aliowaita yeye binafsi kuwa wasaliti hawastahili kuendelea kuishi, hapa napo mlishangilia sana.

JPM kila mara anavunja katiba na sheria za nchi mnashangilia.

Viongozi wa Afrika kung'ang'ania mamlakani kwa kubadilisha katiba za nchi zao kwa maslahi yao binafsi mnashangilia vilevile.

Ujinga, maradhi na umasikini umetamalaki Afrika wala hamuoneshi kuumizwa nayo.

Bado bara la Afrika tatizo la maji ni kubwa sana watu wake bado wanakunywa maji kwa kuchangia na wanyama kama chura, fisi, panya punda, ng'ombe na kila aina ya wanyama waishio porini lakini mnaona jambo la kawaida sana.

Watu bado wanakufa kwa ukosefu wa chakula barani Afrika na hakuna juhudi zozote za makusudi zinazofanya na AU ili kumaliza tatizo hilo, haya yote wala hamuoni kama ni tatizo.

Bajeti za nchi za Afrika 40% zinategemea misaada kutoka USA na Umoja wa Ulaya, na bado mnashangilia.

Yote haya ni mojawapo yanayotetea hoja ya Trump, tatizo lenu mnapenda kurembeshewa maneno na viongozi wasanii wasiotaka kuwaambia ukweli kwa hofu ya kuwaudhi
 
Sawaaa.sijakataa.
ILA KUNA SEHEMU TRUMP KAMTAJA KIONGOZI YEYOTE.?kasema waafrika.kajumuisha na wewe ukiwemo.
Kahiita afrika shithole.na wewe unaishi afrika.umezaliwa afrika.na wazazi wako na babu wote ni waafrika.akitukanwa magufuli na kagame.ndo umetukanwa wewe na Mimi na wazazi wetu.kama wewe haukumpigia kura magufuli.kuna mama ako au baba ako.atakuwa amempigia kura.na ndio kura yake imesaidia kumuweka magufuli madarakani.
SASA AKITUKANWA MAGUFULI JUA NA WEWE HUMOOO.
afrika kweli ina matatizo.
ILA SIO SABABU YA KUTUKANWA.
Brother! Kauli ya Trump ni "shit-hole" countries yaani "nchi chafu". Swali; ni uchafu wa aina gani aliomaanisha? Ni kweli uchafu huo uko Afrika? Sababu za uchafu huo ni zipi? Twende kwenye root cause tuache blah blah za sijui ukoloni sijui upuuzi gani! Kama ukoloni hata US ilikuwa koloni la UK, Spain, France, n.k.

Hilo sijui la babu, babu yako akitukanwa; ni kweli kama nina baba mzembe, mlevi, muuaji, na malaya na inajulikana na wote sitaona ajabu familia ikitukanwa wala haimaanishi ninafurahia matusi ila kiini cha tatizo ni yeye (baba). La muhimu, Afrika tunaondokanaje na kadhia hii ya kutukanwa? Jibu ni kumlaani au kumtukana "mwendawazimu" aliyewatukana? Au ni kumdhibiti baba mpumbavu asiyejua wajibu wake kwa familia? Hiyo ndio hoja yangu.
 
Kilichoandikwa na mtoa mada ni tofaut na kilichoandikwa kwa kiingeleza
 
Badala ya kujadili ujinga na upumbavu wa viongozi wa Afrika unajadili matusi ya Trump yanayo thibitishwa na matendo yetu!

Mkapa aliwaita Watanzania wapumbavu mkashangilia majukwaani badala ya kukasirika.

Akina Mramba waliwaambia Watanzania mtakula nyasi lakini ndege ya rais lazima inunuliwe wala, wala hamkuonesha ghadhabu.

JPM kila mara hutukana Watanzania nyie mnashangilia badala ya kuonesha kukerwa.

Rais alisema wakosoaji wa rais aliowaita yeye binafsi kuwa wasaliti hawastahili kuendelea kuishi, hapa napo mlishangilia sana.

JPM kila mara anavunja katiba na sheria za nchi mnashangilia.

Viongozi wa Afrika kung'ang'ania mamlakani kwa kubadilisha katiba za nchi zao kwa maslahi yao binafsi mnashangilia vilevile.

Ujinga, maradhi na umasikini umetamalaki Afrika wala hamuoneshi kuumizwa nayo.

Bado bara la Afrika tatizo la maji ni kubwa sana watu wake bado wanakunywa maji kwa kuchangia na wanyama kama chura, fisi, panya punda, ng'ombe na kila aina ya wanyama waishio porini lakini mnaona jambo la kawaida sana.

Watu bado wanakufa kwa ukosefu wa chakula barani Afrika na hakuna juhudi zozote za makusudi zinazofanya na AU ili kumaliza tatizo hilo, haya yote wala hamuoni kama ni tatizo.

Bajeti za nchi za Afrika 40% zinategemea misaada kutoka USA na Umoja wa Ulaya, na bado mnashangilia.

Yote haya ni mojawapo yanayotetea hoja ya Trump, tatizo lenu mnapenda kurembeshewa maneno na viongozi wasanii wasiotaka kuwaambia ukweli kwa hofu ya kuwaudhi
Mkapa ni mwafrika mwenzetu.sio trump asiyejua hata udongo wa afrika una rangi gani.nilishasema ni kweli afrika ina matatizo.ila sio sababu ya kutukanwa.
TRUMP ANAUMIZWA NA NINI NA AFRIKA?
KAMA MISAADA SI AACHE KUTOA.
KAMA WAKIMBIZI SI AKATAZE ASIINGIE.
KWANINI ATUTUKANE
KUNA UMUHIMU GANI WA KUTUTUKANA.
BAADA YA KUTUTUKANA IMESAIDIA NINI?
 
Haujui thamani yako.
Huyo balozi ameona thamani yako na bara lako la afrika.akaamua kuonyesha hisia zake juu yako na bara lako LA afrika.lakini wewe mwenyewe unayetetewa huna habari.haujitambui.unatukanwa una furahia na kutetea.
MNAHITAJI MAOMBI VIJANA WENZANGU.
Na mimi nasema Shithole Country wala siyo tusi bali ni ukweli unaoumiza
 
Kwa mambo yanoyoendelea Afrika anaglia Museveni juzi kabadili katiba anagilia Kagame alivyokua anamnyanyasa yule Binti wa kike kisa mpinzani angalia Kabila juzi Nkurunzinza Trump yuko sahihi Si mnasema Marais wanasimama kama nembo ya Nchi Afrika tuna matatizo zaidi ya Ayo ya Trump
 
Brother! Kauli ya Trump ni "shit-hole" countries yaani "nchi chafu". Swali; ni uchafu wa aina gani aliomaanisha? Ni kweli uchafu huo uko Afrika? Sababu za uchafu huo ni zipi? Twende kwenye root cause tuache blah blah za sijui ukoloni sijui upuuzi gani! Kama ukoloni hata US ilikuwa koloni la UK, Spain, France, n.k.

Hilo sijui la babu, babu yako akitukanwa; ni kweli kama nina baba mzembe, mlevi, muuaji, na malaya na inajulikana na wote sitaona ajabu familia ikitukanwa wala haimaanishi ninafurahia matusi ila kiini cha tatizo ni yeye (baba). La muhimu, Afrika tunaondokanaje na kadhia hii ya kutukanwa? Jibu ni kumlaani au kumtukana "mwendawazimu" aliyewatukana? Au ni kumdhibiti baba mpumbavu asiyejua wajibu wake kwa familia? Hiyo ndio hoja yangu.
Afrika itajengwa na sisi waafrika.
Matatizo yetu tutayamaliza wenyewe.
KUTUKANWA SI SULUHISHO LA MATATIZO YA AFRIKA.
Afrika ni kwa ajili ya mwafrika.
Trump haimuhusu.
Ataki kutusaidia aache.
Hataki wakimbizi asiruhusu.
 
Mkapa ni mwafrika mwenzetu.sio trump asiyejua hata udongo wa afrika una rangi gani.nilishasema ni kweli afrika ina matatizo.ila sio sababu ya kutukanwa.
TRUMP ANAUMIZWA NA NINI NA AFRIKA?
KAMA MISAADA SI AACHE KUTOA.
KAMA WAKIMBIZI SI AKATAZE ASIINGIE.
KWANINI ATUTUKANE
KUNA UMUHIMU GANI WA KUTUTUKANA.
BAADA YA KUTUTUKANA IMESAIDIA NINI?
Hahahaha kweli wewe mjingawewe, yaani Mkapa akikutukana ni poa tu, lakini Trump siyo poa sababu ya ngozi yake?

Sasa kwa aina ya watu kama wewe ndio mnazidi kudhihirisha hoja ya Trump iko sahihi kabisa
 
Na mimi nasema Shithole Country wala siyo tusi bali ni ukweli unaoumiza
Mtaendelea kuwa watumwa wa kifikra mpaka mnaingia kaburini.
hamna tofauti na ng'ombe anayechapwa bakora kila siku alime..lakini hana akili ya kujaribu kutoroka.
 
Hahahaha kweli wewe mjingawewe, yaani Mkapa akikutukana ni poa tu, lakini Trump siyo poa sababu ya ngozi yake?

Sasa kwa aina ya watu kama wewe ndio mnazidi kudhihirisha hoja ya Trump iko sahihi kabisa
Wewe mbona umefurahi kutukanwa na trump.au kwa kuwa ni mzungu?
 
Mtaendelea kuwa watumwa wa kifikra mpaka mnaingia kaburini.
hamna tofauti na ng'ombe anayechapwa bakora kila siku alime..lakini hana akili ya kujaribu kutoroka.
Ukitaka usiwe mtumwe wa ngozi nyeupe urudi kwanza kwenye ule mfumo wa maisha yenu ya enzi za mababu zetu za kuvaa magome ya miti sehemu za siri, lakini kushinda kwenye keyboard kama hivi bado ni mtumwa usiyejitambua kama mtumwa.

Unajiona uko huru vipi ukiwa hata uwezo wa kutengeneza pamba ya masikioni huna?
 
Mtaendelea kuwa watumwa wa kifikra mpaka mnaingia kaburini.
hamna tofauti na ng'ombe anayechapwa bakora kila siku alime..lakini hana akili ya kujaribu kutoroka.
Hahahaha wewe mjingawewe unaona uko huru ikiwa hapo ulipo mfumo wa maisha yako yote ni utumwa kuanzia kula, usafiri, mavazi, mawasiliano, miundombinu hadi muundo wa serikali
 
mkuu ulieleta mada ukisoma vizuri na kuelewa utagundua huyu jamaa alisha panga kujiudhuru kabla hata sekeseke la shithole. wana siasa ni opportunistic creature

note:
Under Secretary of State Steve Goldstein confirmed he was aware of Mr Feeley's planned departure ahead of the president's alleged remarks on Thursday.
rudi ukasome tena
 
Back
Top Bottom