Clouds 360: TRA wamelipwa kodi zote magari 44 aliyokamata Waziri Mkuu kinachodaiwa ni storage ya TPA tu!

Shida aliye uza hayo magari 44, Mturuki
Haja lipwa 70% ,
Acheni wizi na utapeli,
Bado mnachezea Serikali, ningekuwa Rais ningekuwa nilisha wakata watu vichwa, JPM Ni mvumilivu sana.
Wewe huwezi kuongoza hata familia yako ..., utapata wapi nafasi ya kupewa nchi ...?!

Serikali haifanyi biashara, wafanyabiashara wanapotofautiana ktk biashara, kuna sheria za nchi zinaelekeza namna ya kufanya . .
Njia mojawapo ni kwenda Mahakamani ..., sio kuwatisha watu na Waziri Mkuu au Raisi ...

Hebu pevuka kidogo ..., acha kutumia akili za ccm kufikiri ...
 
Nakuunga mkono 100%
 
Kwa maelezo haya nasikia harufu ya " kughushi" pahala fulani!
Hilo ndio la msingi...maana kwa uhalisia.....kama yule bwana hakulipwa 70% maana yake...documents zilikuwa directed to bank......., ili atakapolipa hiyo 70% bank wam-release hizo dicuments.
sasa hapa mawili;-
1. Either jamaa aliongea/aliaminiana na bank, wakampa pasipokupokea hiyo 70%, ili awape baadae...na pasipo kumjulisha muuzaji (hili ni kosa) bank wanatakiwa kuwajibika kama walifanya hivyo.
AU
2.Walienda kwa wakala wa meli...na kumrubuni mtu...ionekane original BL iko surrenered tayari...ili wakala wa meli nae ampe ruhusa ya kutoa mzigo, kwa kumpa document inayoitwa "DELIVERY ORDER". Hii utolewa baada ya ku-surrendaer orognal BL. na hii ndio inaambatanishwa na uthibitisho wa malipo ya kodi...ndio upewe hizo port charges.
Kwa mantiki hiyo....hapa kwenye tatizo, ukiachilia mbali wahusika...then BANK au WAKALA WA MELI wamo.
 
Ninachokiona ktk comments nyingi ni ushabiki tu hakuna anayejua kiini hasa cha tatizo na tatizo lenyewe ni lipi,kwa sababu ya ushabiki sasa Hassan Ngoma ndo anaonekana mkweli kuliko PM.
 
Haya mambo ya kufanya kazi kwa mihemuko na kukurupuka kwa kutafuta kick ni mabaya sana..
 
Waziri mkuu alizungumzia pia ujanja wa kulipa 30% kwa mnunuzi na kisha kuingia mitini, hilo wamelizungimzia?
 
Back
Top Bottom