Video fupi ikionesha kiwanda kinavyotengeneza hela Uswiss

We wa wapi..... I have been working migodini unakaguliwa mpaka boksa pamoja na kukaguliwa na sesor.... Huwezi kubeba labda umepanga dili na walinzi.

Then bank kuna watu wengi nawafaham pesa wanaishia kuzishika tu. Wanapata mshahara na overtime
Mkuu hata huyo dada. Anazungumzia atapiga dili.
Sio atatoka nazo kihalali.
Lakini nafikiri ukiwa unafanya kazi kiwanda cha hela. Utaziona za kawaida
 
Serikali haipati pesa kwa kuchapisha, inapata pesa kwa watu kufanya kazi za uzalishaji huduma na bidhaa na yenyewe kukusanya kodi, inachapisha pesa pale uchumi unapokuwa au pale pesa zinapochakaa na kuhitaji kuwa 'replaced'. Ikichapisha tu bila misingi hiyo, pesa hushuka thamani.
Unafikiri Kati ya serikali na wananchi wa kawaida ni Nani mwenye jukumu kubwa kuleta maendeleo?
 
Ulichoandika si sahihi. Nchi yoyote yenye uwezo wankuprint hela inaprint kivyake, mfano mzuri marekani pesa zake zinatengenezwa marekani, na nchi karibia zote ambazo zipo developed.

Ukiwa unasikia story flani kijiweni hua ni vizuri kufuatilia kujua kama ni ya kweli au la. Mambo mengi mno wanayoamini wabongo ni upoteshaji mtupu.

Na unavyosema Magufuli aagize pesa nyingine inaonyesha hujui hata kidogo thamani ya pesa inapatikana vipi, unadhani kwa nini Zimbabwe unanunua mkate kwa bilioni? Yule mjinga Mugabe aliprint hela akifikiri ukiwa nazo nyingi unakua tajiri. Pesa inatakiwa izunguke ndiyo thamani yake ikue, kua nayo nyingi alafu hakuna mnunuaji thamani inashuka kwa speed kubwa. Jaribu kusoma forex trading ujue inakuaje.

Someni sana watanzania, internet ipo msipigeni tu udaku au kufuatilia wanawake wenye makalio Instagram.
 
Ningekuwa mimi, kila siku natoka na kiburungutu.
Nakibana katikati ya makalio kwenye kitundu, afu napita nacho getini.
Ila hizi kazi zingine ni za lawama sana.
Ila poa tu...
Unafikiri wanaofanya kazi hapo wananjaanjaa ?
 
Ningekuwa mimi, kila siku natoka na kiburungutu.
Nakibana katikati ya makalio kwenye kitundu, afu napita nacho getini.
Ila hizi kazi zingine ni za lawama sana.
Ila poa tu...
Yaonekana una chura .....maana kama una vitako ka ngumi hizo pesa zitakaaje mkuu?
 
Kijana haunifikii hata elimu hata kidogo nayo yaandika huna hata uwezo wa kuyafika robo,

Ukitaka tuwekeane elimu utakimbia

Mimi ndo naitwa britanicca encyclopedia,

Ni mtaalamu wa masuala ya fedha tena siyo zenu za madafu, hii post ujajua nimeileta kwa lengo gani, vijana wa siku hizi wakipitia vi theory vya fishers theory of money, na kaynesian mnaona mmejua kila kitu, usimkalili nyambari ukaleta hapa,
We don't acquire knowledge through internet only, we attend schools and different collages,

We are smart enough to analyse anything.concerned with money value ,circulation, appreciation m,valuation and devaluation as well,

Coin minting and notes printing have some spesfic processes, not everyone can print her money,

Pitia sources za knowledge yako
Povu
 
Ulichoandika si sahihi. Nchi yoyote yenye uwezo wankuprint hela inaprint kivyake, mfano mzuri marekani pesa zake zinatengenezwa marekani, na nchi karibia zote ambazo zipo developed.

Ukiwa unasikia story flani kijiweni hua ni vizuri kufuatilia kujua kama ni ya kweli au la. Mambo mengi mno wanayoamini wabongo ni upoteshaji mtupu.

Na unavyosema Magufuli aagize pesa nyingine inaonyesha hujui hata kidogo thamani ya pesa inapatikana vipi, unadhani kwa nini Zimbabwe unanunua mkate kwa bilioni? Yule mjinga Mugabe aliprint hela akifikiri ukiwa nazo nyingi unakua tajiri. Pesa inatakiwa izunguke ndiyo thamani yake ikue, kua nayo nyingi alafu hakuna mnunuaji thamani inashuka kwa speed kubwa. Jaribu kusoma forex trading ujue inakuaje.

Someni sana watanzania, internet ipo msipigeni tu udaku au kufuatilia wanawake wenye makalio Instagram.
Mkuu swala LA kutengeneza hela sio kila nchi inafanya kivyake, suala LA security kwenye noti ni kitu muhinu sana.....

Historically hao jamaa wa uswis wamekuwa wakifanya kazi hiyo muda mrefu sana na ndio maana sehemu kubwa ya uchumi wao hugegemea vitu kama hivyo na utengenezaji wa saa
 
Hili lilikua swali la essay katika somo la economy. Wewe ni ni mshauri uchumi wa rais na wananchi wako wanalalamika fedha imeadimika mtaani, uwezo wa kuprint nyingi unao. Je utashauri fedha ziprintiwe kwa wingi ili zijae mtaani au utafanya kitu gani kutatua tatizo hili?
Apo una jibu x-tics za pesa inatakiwa iwe vp example scarcity(iwe adim)
 
Apo una jibu x-tics za pesa inatakiwa iwe vp example scarcity(iwe adim)
Hebu tupe nondo za hiyo kitu mi mwenyewe sio siri nilichemka ndio mana mpaka leo nalikumbukaga sana swali hili.
 
advance hiyo karatu boys, hili swali mara ya kwanza nakutana nalo kwenye paper niliandika upupu wa ajabu ase!! badae nakuja kupata majibu nilijiona bashite zero brain
Tupe madesa mdau mana mi mwenyewe lilinitoa knock out ndio mana mpaka leo nalikumbuka.
 
Back
Top Bottom