Ajali Morogoro: Magari mawili yagongana uso kwa uso na kupelekea vifo vya watu wanne

Rudia kuyasoma upya maelezo yangu na kuna mahala nimesema neno ' ama / au ' nikimaanisha kwamba sikuwa na uhakika huo ila ni ' dhania ' tu ndiyo nimeiwakilisha hapo na nashukuru kwamba Great Thinkers waliosoma nilichokiandika wamenielewa ila kwa bahati mbaya sana ' Pumbavu ' Wewe mmoja ndiyo umeshindwa kunielewa / kuning'amua. Kila siku huwa nauliza humu hivi wakati Mwenyezi Mungu anatupa Sisi wengine akina GENTAMYCINE hizi ' IQ ' kubwa na za Kutukuka nyie wengine mlikuwa wapi?
Kwa nini uandike kwa kubahatisha kama kweli wewe unajiita great thinker. Fanya upembuzi uje na facts hapa , kama jambo hujui kaa kimya, badala ya kuwa great thinker utakuwa mkurupukaji!
 
Kwa nini uandike kwa kubahatisha kama kweli wewe unajiita great thinker. Fanya upembuzi uje na facts hapa , kama jambo hujui kaa kimya, badala ya kuwa great thinker utakuwa mkurupukaji!

Niondolee ' uharo ' wako tafadhali.
 
Umesikia kuwa fuso imegongana na gari ya mafuta, kwa hiyo hapo huwezi kujiongeza kuwa huenda kulikuwa na mlipuko wa moto.
Think big
Tatizo la Tanzania ni kuwa kila kitu mpaka kufuata taratibu kumbe mengine ni ya kawaida tu na kuna wengine tu nao kimamlaka wanaweza kutoa taarifa kwa umma.
 
Mbona hiyo barabara ni pana na tambarale ya kujitosheleza, imekuwaje wamegongana? Au walikuwa wanasalimiana kama wale wa mabasi ya City boy?
Nimepna hayo magari, nadhani wa fuso alila akamfuata mwenzake, in kwenye mteremko karibu na kona ya mzumbe
 
Kwenye ajali unaambiwa Hiyo Fuso engine ilichomoka na kutupwa pembeni, ujue hiyo ajali haikuwa ya kitoto....
 
Back
Top Bottom