Search results

  1. i think

    Mimi napenda wanawake wasiojua mapenzi (magogo)

    Naenjoy kwa yule nilyenaye yeye hana mbwembwe na sex mimi ndio nimemteach hana papara wala mbinu za kikahaba nilikutana na mdada mmoja yani ana hangaika kama yeye ndio mimi. Alikuwa anahisi ndio kanipata kumbe mimi wala simuelewi, wanawake magogo nawapenda nawaandaa nawageuza nipendavyo na...
  2. i think

    Nimeipenda hii ya daraja la uchaguzi mkuu 2015

    kipi kina thamani kubwa katika dunia ya leo
  3. i think

    Nina laki sita biashara gani nifanye

    Wadau wa jf nina kipesa kidogo shiling laki 6. Ninataka ushauri wenu ni biashara gani kwa huo mtaji nitamudu vyema. ASANTEN
  4. i think

    Hili la wolper na manaiki sanga mmh

    Hili ni jambo la kheri pale mwanaume anapoenda nyumbani kwa mwanamke ambaye anamini anafaa kuwa mke wake na kutoa posa. Siingilii uamuzi wa MANAIK SANGA kutaka kufanya hvyo lakin je mwanajf jchukuliwe wewe ni mzazi au ndugu wa JACK WOLPER. MANAIK SANGA ANAKASHFA KUBWA YA KUPGA PCHA CHAFU...
  5. i think

    Hongera Millard Ayo kwa hatua 2015

    Katika moja ya watangazaji ambao wanajtahidi kuifanya kazi hii iwe na heshima ni Millard Ayo. Sitaki kumzungumzia kwa upande wa utangazaji, nataka nimzungumzie katka upande wa ujasiriamali wake binafsi wa website. Amefikia wakati akawa anachuana na bongo5 lakini hutofautiani millardo alisimama...
  6. i think

    Wametoa mimba sasa hawana amani wanadaina mtoto "msaada"

    Kuna mdogo angu mmoja jana alinifuata baada ya kutoka kanisani. Alikuwa na huzuni kubwa na majuto makubwa kwa kumtazama tu. Akaniambia kaka kuwa uyaone kwangu nishayao na naumia sana. Akafunguka kuwa yeye alimpa msichana wake wa mda mrefu mimba. Lakini wakafanya siri kubwa huku wakijua kuweka...
  7. i think

    Taifa bila maono huangamia mko wap??

    Nilsikia wimbo ukilalama kwa maneno mazito TAIFA BILA MAONO HUANGAMIA. Nilgeuza fkra zangu katka sehemu nlyopo Tanzania. Kiukwel nlipata mafadhaiko nktazama nchi yetu ambayo sasa waleta maono (viongoz wa dini) wamekuwa na urafk mbaya watmizao agzo la shetan(wanasiasa wanyonyaj). Mpaka imefkia...
  8. i think

    Kweli the southern Mtwara ni media ya Ruge?

    Nimefika jana kwa mara ya kwanza katika mji wa mtwara nikitokea MWANZA.Hapa mambo n supa tofauti na nkivyojua katka uchunguzi wangu nimesikia kuna radio na tv ya RUGE MUTAHABA inataka kufunguliwa inaitwa the sourthen.RUGE anataka iwe best kama star tv ianze kanda moja the tz nzma.but...
  9. i think

    Tusiamini katika kusamehe nyakati zote

    Tarehe kama ya leo miaka miwili iliyopita ilinipasa kufanya mamuzi magumu ya kumwacha mpenzi wangu wa muda mrefu. Siku hii ikifika inanipasa kukumbuka si kila kitu ni cha kusamehe muda mwingine Mungu anakuandalia mlango wa kutokea pale unapobahatka kugundua au ni bahati tu kwako. Mpenzi wangu...
  10. i think

    Kwa kauli hii EBOLA itarudisha ubaguzi Marekani

    Kauli ya kijana wa kimarekani alyejpatia umaarufu dunian kuptia muzk CRIS BROWN kuptia mtandao wa kijamii kuwa hajui ugonjwa vizuri lakini anachojua ni kuwa ugonjwa uliotengenezwa kupunguza idad ya watu (TENA AKIONESHA WATU WENYEWE NI WEUSI KAMA YEYE) . TMZ na mitandao hata isyo ya kiburudan...
  11. i think

    Sikuchukii sana wala sikupendi sana

    Kama miaka mitatu katika jiji la Mwanza walikozaliwa na kukulia ndipo mahusiano yao yalianza. Wakawa wanapendana kwa dhati, mwanaume akijua kapendwa na mwanamke chaguo la moyo wake. Siku zikasonga wakashibana katika kuongea mambo yao ya mapenzi siku wakaamua kuanza kutaja neno ukweli kisha kitu...
  12. i think

    Maskini ndugu yangu, hizi ni dalili za nini?

    Miezi kadhaa rafiki yangu alipata mpenzi wakaanza kuishi pamoja. Mapenzi moto na waliaminia walipendana baadae mwanamke angeenda likizo kwao baada ya semister kwisha. Tatizo sasa rafiki yangu baada ya siku kadhaa ameanza kuota vipele ndani kwa ndani mapajani na kifuani, kwa haraka aliogopa...
  13. i think

    Ulipokuwa Chuo ulifanyaje wakati kama huu au wanishaurije?

    Mimi ni kijana umri wangu unacheza kat ya 21 had 25.Nipo chuo huu ndio mwaka wangu wa mwisho ingawa bado miez 11.Tatizo langu watu wakionipga jek(kunisaidia)kipesa kumudu chuoni sasa wameishiwa maisha yamewapiga kiukweli wala sihis wamegoma kunisaidia.Tatzo nachosomea n ngumu kupata kaz ukiwa...
  14. i think

    Nifanyaje ili niweze kuunganisha simu ya A akipigiwa nami nijue

    Nina tatizo hlo nataka simu ya A ikipigiwa m niweze kujua pia na kupoke
  15. i think

    Hana kazi mwanamke haganduki

    Wadau nina rafiki yangu anaitwa G ni mwanachuo mwenzangu hapa mkoani Mwanza.Napata shida sana kumpa ushauri juu ya hili.Yeye anampenz wake ambaye kila siku lazma afke anapoishi akitoka chuoni anakusoma.Baadaye mwanamke akachanganykiwa na penz mpaka chuo haend ila anashnda kwa rafk yangu kila...
  16. i think

    Kwanini wamakonde wanadharauliwa?

    Nchi yetu ina makabila mengi sana na kwa uwingi huo unafanya nchi yetu kuvutia.Na inavutia zaidi hasa pale utakapowakuta watu kutoka maeneo mbalimbali wakizungumza kiswahili kwa lafudhi zao. Lakini kabila la wamakonde wamekuwa wakidharauliwa kila wafikapo maeneo mengine. Sijajua kwa lipi hasa...
  17. i think

    Real Madrid waumini wa double pivot,je watawatoa Bayern?

    Ili upate matokeo katka mchezo wa soka lazima utumie mifumo mizuri itakayo endana na kikosi chako. Duniani kuna mifumo mbalimbali ya soka ambayo inatumia na inabadilika kutokana na mchezo. Double pivot(4-2-3-1)ni mfumo wa soka ambao unaweza kusaidia timu kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja...
  18. i think

    Hivi ndivyo mpenzi alivyoharibu jumapili yangu

    juzijuzi tukiwa tumefuatana tukitokea home kwangu baada ya kupeana raha karibu masaa 3 njiani ndipo mkasa huu ulinikumba. tulifka eneo moja tukakutana na wanaume wawili walipotouna wakaanza kujchekesha xkuwa attention nao kwa xababu ni kawaida couple yetu iktembea watu kufurahi wakituona coz im...
  19. i think

    Katiba haikuwa lengo lenu ila mlitaka iwe sera yenu 2015

    Kila kitu hufanywa kwa sababu lakini inaweza isjulikane kirahisi.Huu ndo wakati ambao watu tumefikia kuwaza hivi juu ya mchakato mzima wa rasimu ulvyofanyika na kwa mbwembwe kubwa za chama tawala kumshangilia waliyomtuma huku wakijinadi kutimiza matakwa ya watanzania. Nakumbuka aliyekuwa...
Back
Top Bottom