Nina tatizo hlo nataka simu ya A ikipigiwa m niweze kujua pia na kupoke
Ili iweje?
Ni ku DIVERT... ila chunga sana unaweza ukapata ugonjwa wa moyo aisee..
Kivipi? kuna A anataka kujua mawasiliano ya B na C
Ili iweje?
Sim ya A inakuhusu vipi wewe B?
kwenye simu.. phone setting >call setting>call divert/forwarding andika namba ya mamsap wako then utaona kitachotokea mkuu...
Nina tatizo hlo nataka simu ya A ikipigiwa m niweze kujua pia na kupoke
Ni ku DIVERT... ila chunga sana unaweza ukapata ugonjwa wa moyo aisee..