Hana kazi mwanamke haganduki

i think

JF-Expert Member
Apr 20, 2014
361
72
Wadau nina rafiki yangu anaitwa G ni mwanachuo mwenzangu hapa mkoani Mwanza.Napata shida sana kumpa ushauri juu ya hili.Yeye anampenz wake ambaye kila siku lazma afke anapoishi akitoka chuoni anakusoma.Baadaye mwanamke akachanganykiwa na penz mpaka chuo haend ila anashnda kwa rafk yangu kila siku anataka amuone.Zaman alikuwa anamtoa rafk yangu akiwa hana pesa sku hz mpaka hal iwe mbaya sana ndo anamsaidia.rafk akchunguza mambo mengne yamebadlka lakn sku aliwekewa mtego had na dada wa mpenz wake kumbe alikuwa anachunguzwa kama anafaa kuwa na ndugu yao.Yeye hana kazi anaingza kpato kdogo mwanzon msichana alimpenda rafk yangu,lakn mapenz yamemfanya rafk yangu nae kupenda zaid.hana kaz bado anasoma mwanamke kaganda je afanyaje kpnd hk ili aweze kumudu penz lake.
 
maswali gani haya jamani, mbona hiki kizazi kinakosa kabisa uwezo wa kufikilia na kutatua matatizo. Yaani unategemea mtu ambaye hamjui huyo mwanamke yukoje ana sifa gani ana uwezo gani, kwao wakoje, wewe hakujui una haiba gani, una kipato gani ukoo wenu mkoje aje akushauri kuliko ambavyo we mwenyewe ungeweza kujipatia jibu.

Kama huu ndio utandawazi na maendeleo basi tuna shida sana.
 
usinzi sio mzuri

biblia yasema mkamate sana elimu usimawache aende zake
 
maswali gani haya jamani, mbona hiki kizazi kinakosa kabisa uwezo wa kufikilia na kutatua matatizo. Yaani unategemea mtu ambaye hamjui huyo mwanamke yukoje ana sifa gani ana uwezo gani, kwao wakoje, wewe hakujui una haiba gani, una kipato gani ukoo wenu mkoje aje akushauri kuliko ambavyo we mwenyewe ungeweza kujipatia jibu.

Kama huu ndio utandawazi na maendeleo basi tuna shida sana.

sina la kuongeza.
 
Kwa kweli hili ni janga la kiTaifa...siku hizi yaani wanachuo na wahitimu wengi hawawezi hata kuelezea scenario ya kawaida tu wakaeleweka...sasa sijui kwenye kujenga hoja yenye mashiko na kuitetea itakuwaje!?
Yaani ameandika vibaya mpaka haivutii kusoma
 
Back
Top Bottom