Real Madrid waumini wa double pivot,je watawatoa Bayern?

i think

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
361
Reaction score
72
Ili upate matokeo katka mchezo wa soka lazima utumie mifumo mizuri itakayo endana na kikosi chako.

Duniani kuna mifumo mbalimbali ya soka ambayo inatumia na inabadilika kutokana na mchezo.

Double pivot(4-2-3-1)ni mfumo wa soka ambao unaweza kusaidia timu kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja bila kubadilika sana kama 4-4-2.

Klabu ya real madrid(Los Blancos) ni muumin mkubwa wa mfumo wa double pivot.

swali langu nalojiuliza kwa aina ya wachezaji wa madrid ambao wanao double pivot itawasaidia kuwapa matokeo.
Double pivot ili ikupatie faida ni lazma uwe na viungo wakabaji wawili wazuri katika majukumu ya eneo hilo ndo wanaupa jina mfumo huu kuitwa (double pivot).

Sitaki kurudi nyuma juu ya anguko la madridi toka 2002 pale walipopoteza ladha ya double pivot kumuona claude MAKELELE hana umuhmu wowote.Huku rais MADRID asiye na mvuto kwa wapenzi wa soka PEREZ akitoa maneno ya kashfa bila kujua kuwa MAKELELE anahitajika kwenye double pivot pengne kuliko hata MORIENTES.

Nitarejea kuongelea MADRID na hofu yangu.
 
Katika klabu ya real madrid sehemu ya double pivot ina tatizo kubwa sana.
Mtu pekee anayemudu ni xabi alonso huyu wataalamu tunamwita DEEP LYING MIDFILDER.
Tatizo ni msaidizi sahihi wa ALONSO kwani wasaidizo alionao akina KHEDIRA,ILLER,MODRIC wamekosa sifa stahiki.
ALONSO ana uwezo mkubwa wa kukaba,kuongoza timu na kupiga pasi makini anachoitaji ALONSO ni mchezaji ambaye ana matirio ya CENTER MIDFILDER kama ARTUDO VIDAL wa JUVENTUS.Hapa panahtaj wachezaji wanaofanya tackle nyingi na mwingne anachukua mipira na kusonga nayo mbele.
DOUBLE PIVOT ikiwa na watu hawa wawili mbele yao wakisimama washambuliaji viungo watatu yan RONALDO,ISCO,DI MARIA wakifanya kazi ya kuingia ndani na kumpatia mipira BENZEMA atakayesimama mbele.
UDHAIFU UNAKUJA PALE AMBAPO TIMU INAPOSHAMBULIA MFUMO WA 4-2-3-1 INABID UBADILIKE KIDOGO NA WALE MAWIDE ROLES (WINGA)BALE NA RONALO WANARUDI NYUMA NA ISCO ATABAKI NYUMA YA BENZEMA MFUMO UNABADILIKA NA KUSOMEKA 4-4-1-1.Sasa wanaomsaidia ALONSO siku zote wanakuwa sifa ziszostahk mahala pale...
 
mbona nawaona Real Madrid kama wanacheza zaidi 4-3-3 kwa sababu kule mbele ni CR na Bale pembeni; Benzema kati kati.?😕
 
CHELSEA FC ndo wanacheza vizuri zaidi 4-2-3-1 unayoizungumzia mkuu:

Maana the 3: Hazard-Oscar-Willian wanatambulika kabisa majukumu yao uwanjani.

Zamani enzi za Mourinho mwaka 2004 alipenda sana 4-3-3.

Hata katika mechi chache kama vile CFC vs ATM iliyopita Chelsea FC walicheza 'defensive' 4-3-3.

Hapana mkuu ronaldo/bale isco dimaria wanacheza nyuma ya benzema au morota huo ndio mfumo wao waupendao wakibadili ni kutokana na hali ya mchezo.kama unakumbuka vuta picha wakati wa ozili ronaldo na di maria mbele kasimama benzema au higuan
 
CHELSEA FC ndo wanacheza vizuri zaidi 4-2-3-1 unayoizungumzia mkuu:

Maana the 3: Hazard-Oscar-Willian wanatambulika kabisa majukumu yao uwanjani.

Zamani enzi za Mourinho mwaka 2004 alipenda sana 4-3-3.

Hata katika mechi chache kama vile CFC vs ATM iliyopita Chelsea FC walicheza 'defensive' 4-3-3.

MKUU 4-3-3 ni attacking sio defensive ndo mana unatumia na timu zenye tabia ya pasi nying..(tik tak) na kushambulia kama arsenal na barcelona mbele anacheza mesi,sanchez na neymar
 
Back
Top Bottom