Kwa kauli hii EBOLA itarudisha ubaguzi Marekani

i think

JF-Expert Member
Apr 20, 2014
361
72
Kauli ya kijana wa kimarekani alyejpatia umaarufu dunian kuptia muzk CRIS BROWN kuptia mtandao wa kijamii kuwa hajui ugonjwa vizuri lakini anachojua ni kuwa ugonjwa uliotengenezwa kupunguza idad ya watu (TENA AKIONESHA WATU WENYEWE NI WEUSI KAMA YEYE) .

TMZ na mitandao hata isyo ya kiburudan imemshambulia sana CRIS BROWN.Mashabiki wazungu wamemtukana.

Sikatai wengne wamehoji kitaalam ANAO USHAHIDI KUWA HATA SERIKALI IMEKUBALI KUPUNGUZA WAMERAKAN TENA IKILENGWA WALE WEUSI.

Marekani imetetemeka sana, watu wengi wameapa kutoa utajiri wao kuzuia EBOLA.Kwa kauli ubaguzi MAREKANI UNAWEZA KUPATA NGUVU TENA.

Mana watu weusi na weupe walionekana kushambuliana kwa maneno ingawa wapo wengi tu wasiokubaliana nae japo weusi.
 
Mawazo yake hayo
 
Attachments

  • 1413344014918.jpg
    1413344014918.jpg
    43.7 KB · Views: 936
Hehehe, eti "itarudisha ubaguzi marekani." Hahaha, kwani kabla ya kauli ya Chris Brown ubaguzi ulikua umeenda wapi Marekani? Ulikua haupo?
Hizi recent publicised shooting za un armed blacks na police unafikiri ni ishara ya nini? Peace and harmoney in the land of milk and honey?

Unakuza mambo madogo sana.
Hio over reaction ya wazungu tu. Wakiguswa kidogo wana panick.
Japokuwa siamini kuwa EBOLA ni a human engineered virus as opposed to HIV, I still believe CB is entitled to his views without fear of prejudice and hypocritical condemnation!!

Nakumbuka katrina, Kanye West alikua live CNN akasema "...Bush doesn't care about black people" hahaha. That was the black and white truth. CNN walihaha sana lakini it was a fact.

Hehehe eti, itarudisha ubaguzi!!
 
hayo maneno mengine hujui kiswahili chake mkuu
 
Mkuu kama sijakupata vyema,kwamba huamini kama ebola ni human engeneered virus ila hiv ni human engeneered?
 
Ubaguzi upo sana na wanaamini kuwa Ebola ni kwa ajili ya ngozi nyeusi. Balotelli alishawahi kushambuliwa mtandaoni na aliambiwa maneno haya " F*** you Mario you f****** n*****. Got eat some bananas and get ebola you dirty monkey.
 
Asprin

Ebola kwa sasa haina mwenye hata wao waliotengeneza imeshawashinda tumeona wagonjwa wao wote wameshakufa.
 
Last edited by a moderator:
najua we ni ke ndo mana umeandika kmpasho lakn ujue ubaguz upo lakn hl la ebola lnarudsha kwa kas sasa hv mzungu humtukana mweus kuwa mleta ebola
 
hayo maneno mengine hujui kiswahili chake mkuu
Nisamehe bure mkuu, ndio nilivyo unless niamue kabisa kukaa na kutulia kuandika kiswahili tu au kingereza tu. Ila nikiwa freefall, najikuta naenda kote kote. Kiswahili nilijifunza kuanzia form 1 aisee, napo ni likizo tu.
 
Mkuu kama sijakupata vyema,kwamba huamini kama ebola ni human engeneered virus ila hiv ni human engeneered?
Ndio. Kutokana na elimu na utafiti nilio ufanya kwenye swala la HIV, ninaamini zaidi kuwa ni an engineered virus, lakini japo sijafanya utafiti wa kina wa EBOLA, nahisi sio biological engineered virus.
 
i think

Najua wewe ni her*****dite ndio maana hujielewei unachoandika. Unavosema Ebola inarudisha ubaguzi unaongea kana kwamba huo ubaguzi uliondoka na sasa unarudi kwa sababu ya ebola. we taahira sana. Umeshawahi kwenda na kukaa kidogo states, ulaya au nchi yeyote kwa zaidi ya mwaka?
Ubaguzi ulikuwepo na ebola haiurudishi kwa sababu haukwenda kokote, zaidi unawapa nafasi wabaguzi kuonyesha ubaguzi wao zaidi kwa mgongo wa ebola.
 
Mungu saidia ebola isitie mguu tz, manake na huu usafiri wetu wa dara-dara na majasho na joto la darisalama, tuepushie mbali gonjwa baya hili.
 
waache kuupeleka kwa ISIS WATULETEE huku walalahoi tunaouza rasilimali bila nguvu...muache kula nyani wabichi na mila potofu..
 
Back
Top Bottom