Tusiamini katika kusamehe nyakati zote

Tusiamini katika kusamehe nyakati zote

i think

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
361
Reaction score
72
Tarehe kama ya leo miaka miwili iliyopita ilinipasa kufanya mamuzi magumu ya kumwacha mpenzi wangu wa muda mrefu. Siku hii ikifika inanipasa kukumbuka si kila kitu ni cha kusamehe muda mwingine Mungu anakuandalia mlango wa kutokea pale unapobahatka kugundua au ni bahati tu kwako.

Mpenzi wangu alikaa nami miaka zaidi ya 5. Kuna kipindi alifanya kosa la kununa baada ya kumkuta akichat na mwanaume aliyedai amesoma nae na ni mtu wa karibu tu wa familia yao kwa hiyo wanaheshmiana. Siku nyingine huyo mtu aliyeweka alama mbaya moyoni kwani tangu siku ile uaminifu ukapotea juu yake.

Alimpigia simu mbele yangu wakiongea mambo ya kawaida lakini yakionyesha ukaribu wao awapo nyumbani kwao.

Nikamnasa kuwa iweje ulisema umesoma nae leo unasema n mtu mzma sana na anafamilia.

Akaomba msamaha, kwa kifupi kabla, alikuwa mwingi wa hasira na haongei ananuna ukigusa juu ya huyo, nikaamua kufanya maamuzi magumu kwani tulikuwa hatuna imani tena hofu za usaliti na kisasi zilitawala mapenzi yakawa kiza.

Sasa angalau na amani nilimpenda ila ningemsamehe ningeumizwa zaidi.
 
Umefanya jambo la busara sana.

Vinginevyo utakuwa unaumizwa mara kwa mara
 
kwa hapo mkuu umejitahidi sana kuandika, subiri nikarundi nije nitoe point yangu.
 
nlivyosoma kichwa cha habari nilihisi umewahi kusamehe kumbe ni mawazo tu
 
Unaona sasa unaanza kujua kuandika japo bado unatakiwa kujitahidi kidogo kwenye uhalisia wa script zako.
 
nlivyosoma kichwa cha habari nilihisi umewahi kusamehe kumbe ni mawazo tu

nilmsamehe lakn nkaona mapenz yalikuwa tait kulikon awal nlikuwa namhofia nyendo zake naye alkuwa ana hofu ntamfanyia ksas.tulsamehana lakn ingekuwa love ya mashaka
 
Avatar yako imenisisimua kwelikweli, huyo mtu namheshimu sana...!

Ccm wakimuona wanawaza kufanya yafuatayo(Kuzima umeme, kuleta fujo, kukataza midahalo, kupiga, kuua, kutesa, wizi)...! Huyu mtu salute kwake
 
Kwa hiyo sasa hivi umeamua kuwa mpole na kuwagegeda kisela
 
Tarehe kama ya leo miaka miwili iliyopita ilinipasa kufanya mamuzi magumu ya kumwacha mpenzi wangu wa muda mrefu.Siku hii ikfka inanipasa kukumbuka si kila kitu ni cha kusamehe muda mwingine mungu anakuandalia mlango wa kutokea pale unapobahatka kugundua au ni bahat tu kwako.mpenz wangu alikaa nami miaka zaidi ya 5.kuna kipindi alfanya kosa la kununa baada ya kumkuta akchat na mwanaume akiyedai amesoma nae na ni mtu wa karbu tu wa familia yao kwa hyo wanaheshmiana.sku nyngne huyo mtu aliyeweka alama mbaya moyoni kwani tangu siku ile uaminifu ukapotea juu yake.alimpgia smu mbele yangu wakiongea mambo ya kawaida lakn yakionyesha ukarbu wao awapo nyumban kwao.nkamnasa kuwa iweje ulsema umesoma nae leo unasema n mtu mzma sana na anafamilia.akaomba msamaha.kwa kfup kabla.alikuwa mwng wa hasra na haongei ananuna ukgusa juu ya huyo.nkaamua kufanya maamuz magumu kwani tulikuwa hatuna iman tena hofu za usalit na ksasi zilitawala mapenz yakawa kiza.sasa angalau na amani nilimpenda ila ningemsamehe nngeumizwa zaidi

Kuna kanuni yangu moja inasema ukitaka kuishi maisha yasiyo na bugudha, jiepushe kabisa na mambo ya mahusiano, kaa peke yako! hapo utakua na maamuzi ya kila kitu kwa asililimia kubwa.

Ukiamua kujiingiza kwenye mahusiano, tegemea lolote na utaepuka hili kwa huyu lakini utakumbana na lingine kwa mwingine, ni kuangalia tu kama unaweza kuyavumilia mapungufu ya mwenzi wako unaendelea nae, yakikushinda ndio hivyo tena ila suala la kuwa kwenye mambo swafi kwa asilimia mia moja halipo wala usilitegemee....

Kwa ufupi, mtu yeyote anaweza kufanya kitu chochote wakati wowote bila kujali chochote!

Cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Watu hawaelewi maana ya msamaha na uamuzi...msamaha ni hali yakukubali yaliyotokea na kisha kumpa uhuru na mlango wakuruhusu aendelee na mambo yake,na wala haimaanishi kuwa kusamehe ni mtu kuendelea kuwa na mtu,..hapana,huyu jamaa kafanya jambo jema sana na kwa faida yake,alisamehe ila alifanya UAMUZI wakumuacha huru...na aendelee kuishi maisha anayoyaona yanafaa...
 
Back
Top Bottom