i think
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 361
- 72
Kuna mdogo angu mmoja jana alinifuata baada ya kutoka kanisani. Alikuwa na huzuni kubwa na majuto makubwa kwa kumtazama tu. Akaniambia kaka kuwa uyaone kwangu nishayao na naumia sana.
Akafunguka kuwa yeye alimpa msichana wake wa mda mrefu mimba. Lakini wakafanya siri kubwa huku wakijua kuweka wazi ni kes kubwa sana katka familia zao.
Mwanamke alihitaji kuendelea kusoma akasema watoe na mdogo wangu akajiona hana FUTURE bado akakubali na alisema msichana wake alikuwa imara na hana hofu.
Mdogo wangu akatafuta hela msichana akaenda toa ingawa aliumwa sana akamshukuru mpenzi wake kwa ushirikiano na kujtoa kwake kuwa nae pamoja.
TATIZO LIMEANZA MWEZI MMOJA TU BAADA YA KUTOA. HAWANA RAHA WANAJILAUMU HAWAONI JIPYA KATI YAO KILA WAKIMWONA MTOTO MAUMIVU.
MSICHANA NDO KAZIDI SAA 9 USKU ANAPGA SMU KUMDAI MTOTO WAKE ANAMWAMIA NILETEE MWANANGU USKU HUU.
KIUKWELI HAWAKAO MBALI WATACHANGINYKIWA MDOGO ANGU ANAMPENDA MSICHANA BADO. KATUBU LAKINI MOYO HAUJATULIA.
WANAONEKANA WALKURUPUKA NIN USHAURI WAKO NIWAPE.
NOTE: MTOTO NI ZAWADI