Sikuchukii sana wala sikupendi sana

i think

JF-Expert Member
Apr 20, 2014
361
72
Kama miaka mitatu katika jiji la Mwanza walikozaliwa na kukulia ndipo mahusiano yao yalianza. Wakawa wanapendana kwa dhati, mwanaume akijua kapendwa na mwanamke chaguo la moyo wake.

Siku zikasonga wakashibana katika kuongea mambo yao ya mapenzi siku wakaamua kuanza kutaja neno ukweli kisha kitu ambacho hujawahi kumwambia mwenzako maisha yote.

Lakini kubwa mwanaume alichanganykiwa alipoambiwa na mwanamke wake ukweli sikuchukii sana na wala sikupendi sana na sababu ya kutokuchukia hukunibaka wakati wa kutoa bikra yangu na sababu ya kutokupenda sana ulshindwa kusubiri hukuwa na subira tukasexy nikapoteza bikra mapema.

Je huku kidume kina haki ya kupata presha kwa hili
 
ndio ana haki ya kuwa na presha, binti akipata mtu wa kuziba void tu anasepa.
 
Haya ndio maisha yetu, na niafadhali huyu alisema yaliyo moyoni kwa alie mtoa usichana na bado wako pamoja naamini anampenda sana kuliko hiyo kauli (kipimo cha malove anacho yeye).

Kuna wangapi wametolewa usichana wao na kukimbiwa... wangapi wameoa mabikira? au kuolewa na first boy lovers wengi walianzishiwa na wakimbiaji! inaumiza kulifikiria kwa pande zote lakini ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom