Mtu mwenye chumba kimoja cha kupanga,kiwe na choo na bathroom ndani,security na parking.please inbox nikuunganishe na muhitaji. Preferable maeneo ni, Kijitonyama,mikocheni Victoria kinondoni,upanga.
Mtu anayehitaji anakaa dodoma,Ila mara moja moja anakuja dar,ndio maana security ni muhimu mda...
Mtu mwenye chumba kimoja cha kupanga,kiwe na choo na bathroom ndani,security na parking.please inbox nikuunganishe na muhitaji. Preferable maeneo ni, Kijitonyama,mikocheni Victoria kinondoni,upanga.
Mtu anayehitaji anakaa dodoma,Ila mara moja moja anakuja dar,ndio maana security ni muhimu mda...
Hello Wajameni,
Kuna kibaka kaniibia Macbook yangu,kama Kuna mtu anaweza kuitrace ikapatikana,basi zawadi nono ipo,watu wa IT wachangamkie ajira hii.Come inbox
Hello wajameni!
Kwa wanaoishi pande hizi za Kigamboni watakubaliana na mimi kuwa umeme huku ni Janga.
Kwanza mdogo,then unakatika katika kama disco light,au ukatike masaa 18...,Tanzania ya viwanda wakati microwave haiwaki sijaelewa kabisa hii dhana.
Wana JF any magic trick,nadaiwa TRA road license ya gari la miaka 6 nyuma.Gari ilishapata ajali na kuuzwa spea long time.Any magic trick kupambana na hii shida.
Hello Wana JF,
Pamoja na kushikwa Boss wetu wa JF,wote tupo pamoja nae.
Sasa bana nimehamia huku Kigamboni Takribani miezi 11 sasa.
Kero namba moja,licha ya umeme kukatika katika hovyo hovyo pia hata unapopatikana unakua mdogo sana.Yaani unawasha taa,feni tena sometimes linapunguza speed almost...
Yaani ni Democrasia ya another level. Everything vipo live watu mnajijumlishia tu ukimzidi mwenzio hata kama kura bado zinaendelea kuhesabiwa, ikiwa umezidi nusu, unajitangaza mwenyewe na kutoa Victory speech.
Je ni lini tutafika huko,tuachane na akina Jecha.?
To manage the panicking and make correct decisions without making any loss,hiyo ndio tunayo mpongeza.Huwezi kuelewa kwa vile hujawai kuwa, in that or similar situation.
Ndege moja Aina ya Caravan yenye abiria 5 na rubani mmoja,Imelazimika kutua Kwa Dharura kwenye Shamba moja Pembeni Mwa kiwanja cha Arusha . Inasemekana ndege hiyo ilipata engine Failure mara baada ya kupaa.Uchunguzi bado unaendelea kufuatana na Tukio hilo.
Pia pongezi kwa Rubani aliyeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.