Chumba cha kupanga

tzbuddy

Member
Mar 12, 2014
33
49
Mtu mwenye chumba kimoja cha kupanga,kiwe na choo na bathroom ndani,security na parking.please inbox nikuunganishe na muhitaji. Preferable maeneo ni, Kijitonyama,mikocheni Victoria kinondoni,upanga.
Mtu anayehitaji anakaa dodoma,Ila mara moja moja anakuja dar,ndio maana security ni muhimu mda mwingi hayupo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom