tzbuddy Member Mar 12, 2014 33 49 Jan 28, 2017 #1 Hello wajameni! Kwa wanaoishi pande hizi za Kigamboni watakubaliana na mimi kuwa umeme huku ni Janga. Kwanza mdogo,then unakatika katika kama disco light,au ukatike masaa 18...,Tanzania ya viwanda wakati microwave haiwaki sijaelewa kabisa hii dhana.
Hello wajameni! Kwa wanaoishi pande hizi za Kigamboni watakubaliana na mimi kuwa umeme huku ni Janga. Kwanza mdogo,then unakatika katika kama disco light,au ukatike masaa 18...,Tanzania ya viwanda wakati microwave haiwaki sijaelewa kabisa hii dhana.