Umeme wa Kigamboni,Tanesco.

tzbuddy

Member
Mar 12, 2014
33
49
Hello Wana JF,
Pamoja na kushikwa Boss wetu wa JF,wote tupo pamoja nae.
Sasa bana nimehamia huku Kigamboni Takribani miezi 11 sasa.
Kero namba moja,licha ya umeme kukatika katika hovyo hovyo pia hata unapopatikana unakua mdogo sana.Yaani unawasha taa,feni tena sometimes linapunguza speed almost linazima mara linafufuka, tv na radio basi.jiko,microwave,ac,water pump sometime pasi inachukua muda kupata joto.Hivyo viwanda sijui vitawashwa na nini...
Nimejaribu kufuatilia naambiwa tunatumia umeme wa Temeke na umezidiwa.Ni sababu ya kipuuzi sijawai ona,Tanesco Tanesco,try to think more,avoid dubious answers.
Au kwa sababu ni umeme wa Temeke,ungekuwa wa Masaki/Osterbay mngeshashika adabu yenu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom