Road License

tzbuddy

Member
Mar 12, 2014
33
49
Wana JF any magic trick,nadaiwa TRA road license ya gari la miaka 6 nyuma.Gari ilishapata ajali na kuuzwa spea long time.Any magic trick kupambana na hii shida.
 
Wana JF any magic trick,nadaiwa TRA road license ya gari la miaka 6 nyuma.Gari ilishapata ajali na kuuzwa spea long time.Any magic trick kupambana na hii shida.
Kuwa mzalendo kwa nchi yako mkuu lipa mapato ipasavyo na kwa wakati, kwa kukushauri unapo acha kutumia chombo cha usafiri zingatia kutoa taarifa TRA ili kuepuka shida kama hizo maana hawa jamaa kwa sasa hupewi usajili mpya wa kitu chochote kama TIN yako inasoma deni lazima ulipe kwanza ,hata kama umeuza liwe gari au pikipiki ama chochote kinacho hitaji kulipiwa TRA hakikisha unatoa taarifa ili wahamishe umiliki kwa unaye muuzia au wakitoe chombo chako kwenye utaratibu wa kulipiwa kama kimekufa na kupote kabisa, ni hayo tu.
Tena labda wamekusamehe ofisi zingine za TRA wana kamata kabisa na gari yako mpya uliyo nunua hadi ulipe deni lao la nyuma ndi wakupe usajili mpya uondok na gari yako,
 
Back
Top Bottom