2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Hiyo sovereignty haipo Iraq ?, haipo Afghanistan?, haipo Libya?
Zipo, lakini kilichotokea kwao kilichangiwa na watu ambao waliamini kua USA ndiyo Mwarobaini wa tatizo lao. USA ikatumia mgongo wa demokrasia na vita dhidi ya ugaidi kama kigezo cha kuingia humo lakini wakisaidiwa na wananchi wa taifa husika.

Wananchi wengi wa USA walilalamikia gharama zilizoingiwa na nchi yao kwenye hizi vita, sioni kama Trump atakua radhi kutumia pesa ya wananchi kuja kugombana na bara ambalo raisi wake anawaahidi watu wake umeme na maji.
 
Wakuu wa nchi hivi ni ukweli huyu jamaa aliyeshinda atawatimua wahamiaji haramu ,maana Nina ndugu zangu wanaishi USA bila yale makaratasi ,Yaani sina hamu wakuu wa nchi .Au atabadilisha mawazo nini ? Tuendelee na Sala mola ambadilishe mawazo ,
Obama katimua wengi kuliko kipindi cha Bush. Si kitu kigeni.
 
mpwatrump anarudisha watu niedewapii nanchii niliotakakuhamia marekani

Mpwa tena nilivyosikia utahama nchi nikasema itabidi nije nirithi baadhi ya vitu, maana najua ungehama peke yako siyo na familia.
 
Yaani ni Democrasia ya another level. Everything vipo live watu mnajijumlishia tu ukimzidi mwenzio hata kama kura bado zinaendelea kuhesabiwa, ikiwa umezidi nusu, unajitangaza mwenyewe na kutoa Victory speech.

Je ni lini tutafika huko,tuachane na akina Jecha.?
 
Mpwa tena nilivyosikia utahama nchi nikasema itabidi nije nirithi baadhi ya vitu, maana najua ungehama peke yako siyo na familia.
Hahahaaaaaaa mpwaaaaaaaaaaa ngojaaa namaliziaaa shereheyaushindi watrump ntaruditena

Karibuni lunchjamani

@kwahisaniya watu wa Donald Trump
 
Yaani ni Democrasia ya another level. Everything vipo live watu mnajijumlishia tu ukimzidi mwenzio hata kama kura bado zinaendelea kuhesabiwa, ikiwa umezidi nusu, unajitangaza mwenyewe na kutoa Victory speech.

Je ni lini tutafika huko,tuachane na akina Jecha.?
Tukijuaaa KUOGOPA DHAMBI TUTAFIKA HUKO
 
Shidaaa
 

Attachments

  • IMG-20161110-WA0046.jpg
    IMG-20161110-WA0046.jpg
    27.7 KB · Views: 80
Baada ya Trump kutanganzwa rais mpya wa Marekani hali za waafrika wenzangu huko ni pressure tupu!

Na kwa unafki wa watu weusi nahishi hawata chelewa kujichekesha ili wahurumiwe.

Kweli wengine walijiona ni miungu watu kwa kuishi huko tena wakiwa ni watumishi kwenye kambi za vikongwe.

Nina Dada yangu wa tumbo moja alikwenda kufanya kazi huko akatelekeza mpaka wazazi mpaka kwenye misiba yao aligoma kurudi akidai asamehewe hawezi vumilia hali ya hewa ya huku.

Chaajabu Leo kaanza kuwasiliana na ndugu akieleza mashaka yakuendelea kuishi huko kufuatia ushindi wa Bwana Trump.

Asante Trump umeleta heshima nyumbani , timua wote huko warudi kukabiliana awamu ngumu ya kipindi hiki cha baba jesca.
Kumbe una machungu na sis wako au hili fumbo kwa yule jamaa wa USA baby


Ndukiiiii
 
15016204_10154916251489238_9026881288113343266_o.jpg


We all go forward, with a presumption of good faith in our fellow citizens—because that presumption of good faith is essential to a vibrant and functioning democracy. That's how this country has moved forward for 240 years. It’s how we’ve pushed boundaries and promoted freedom around the world. That's how we've expanded the rights of our founding to reach all of our citizens. It’s how we have come this far." —President Obama speaking today in the Rose Garden on bringing our country together after the election: go.wh.gov/WJ48yw
 
kasome BIBLIA vizuri maandiko matakatifu ya MUNGU,
Ninachosema ni kuwa hakuna unabii ambao hauwezi kupimwa. Lazima unabii upimwe kama ni wa kweli ama la. Nilichokifanya mimi ni kupima tu unabii wa Nabii husika. Yako maandiko mengi tu juu ya somo la unabii na manabii. Unabii usipotimia nabii hana ujanja ni kutubu tu na kukubali kuwa amejikinai. Amesema kila ambacho Mungu hakumtuma kusema ila amelitumia jina la Mungu ama ametumia nafsi yake tu. soma hii hapa:

29 Na manabii wanene wawili, au watatu, na wengine wapambanue (I Kor 14:29).

8 Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, apendavyo Roho yeye yule; \v 9 mwingine imani katika Roho yeye yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja; \v 10 na mwingine matendo ya miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine tafsiri za lugha; (1 Kor 12:8-10).

Nabii na unabii lazima upambanuliwe ikiwa ni sahihi. Roho yoyote inayonena maneno ya Mungu na kutabiri na kufanya miujiza lazima ipambanuliwe ikiwa imetoka kwa Mungu kwa sababu uongo mwingi upo duniani. Soma na hapa.

Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. * (1 Yohana 4:1)

Niyaache maandiko ya Agano la Kale maana yenyewe ni makali sana tusidhaniwe tunalenga kumhukumu mtu. Hata manabii wote tulio nao humu nchini hata kama wanatenda miujiza na kutabri na kuleta uponyaji ni halali kwa aaminiye kupima ikiwa wanatoka kwa Mungu hata kama hutapiga makelele au kuwaandika ama kuwalaumu hadharani. Unapambanua na unachukua hatua kimya kimya kutokana na yale uliogundua.

Kupambanua karama za Mungu sio dhambi hata kidogo. Waache watu wapambunue manabii waliotabiri ambayo hayakutokea kama walivyosema ila wasitukane mtu ama kumsema saaaana. Wawe na heshima kidogo angalau kwani nao ni wanadamu wanaweza kutubu na Mungu akawasaidia.
 
Here Is What Donald Trump Wants To Do In His First 100 Days

At the end of October, Donald Trump spokein Gettysburg, Pa., and released a plan for his first 100 days in office.

The plan (below) outlines three main areas of focus: cleaning up Washington, including by imposing term limits on Congress; protecting American workers; and restoring rule of law. He also laid out his plan for working with Congress to introduce 10 pieces of legislation that would repeal Obamacare, fund the construction of a wall at the Southern border (with a provision that Mexico would reimburse the U.S.), encourage infrastructure investment, rebuild military bases, promote school choice and more.


POLITICS
FACT CHECK: Donald Trump's First 100 Days Action Plan

On Wednesday, Senate Majority Leader Mitch McConnell mostly made nice with Trump but also shot down or expressed little enthusiasm in some of his plans. On Trump's proposal to impose term limits on Congress, McConnell said, "It will not be on the agenda in the Senate." McConnell has been a long-standing opponent of term limits, as NPR's Susan Davis reports. "I would say we have term limits now — they're called elections."

McConnell also threw some cold water on Trump's infrastructure plans, calling it not a top priority.

McConnell did say repealing Obamacare is a "pretty high item on our agenda" along with comprehensive tax reform and achieving border security "in whatever way is the most effective." But he also declined to discuss the Senate's immigration agenda further.


POLITICS
GOP Leaders Make Peace With Trump In Favor Of 'Unified Republican Government'

"We look forward to working with him," McConnell said. "I think most of the things that he's likely to advocate we're going to be enthusiastically for."


POLITICS
Transcript: Donald Trump Speaks At Victory Rally

Below is the 100-day plan Trump's campaign released in October, called "Donald Trump's Contract With The American Voter."

What follows is my 100-day action plan to Make America Great Again. It is a contract between myself and the American voter — and begins with restoring honesty, accountability and change to Washington

Therefore, on the first day of my term of office, my administration will immediately pursue the following six measures to clean up the corruption and special interest collusion in Washington, DC:

* FIRST, propose a Constitutional Amendment to impose term limits on all members of Congress;

* SECOND, a hiring freeze on all federal employees to reduce federal workforce through attrition (exempting military, public safety, and public health);

* THIRD, a requirement that for every new federal regulation, two existing regulations must be eliminated;

* FOURTH, a 5 year-ban on White House and Congressional officials becoming lobbyists after they leave government service;


POLITICS
WATCH: Hillary Clinton Concedes Presidential Race To Donald Trump

* FIFTH, a lifetime ban on White House officials lobbying on behalf of a foreign government;

* SIXTH, a complete ban on foreign lobbyists raising money for American elections.

On the same day, I will begin taking the following 7 actions to protect American workers:

* FIRST, I will announce my intention to renegotiate NAFTA or withdraw from the deal under Article 2205

* SECOND, I will announce our withdrawal from the Trans-Pacific Partnership

* THIRD, I will direct my Secretary of the Treasury to label China a currency manipulator

* FOURTH, I will direct the Secretary of Commerce and U.S. Trade Representative to identify all foreign trading abuses that unfairly impact American workers and direct them to use every tool under American and international law to end those abuses immediately


POLITICS
WATCH: President Obama On Trump Win, Clinton Loss

* FIFTH, I will lift the restrictions on the production of $50 trillion dollars' worth of job-producing American energy reserves, including shale, oil, natural gas and clean coal.

* SIXTH, lift the Obama-Clinton roadblocks and allow vital energy infrastructure projects, like the Keystone Pipeline, to move forward

* SEVENTH, cancel billions in payments to U.N. climate change programs and use the money to fix America's water and environmental infrastructure

Additionally, on the first day, I will take the following five actions to restore security and the constitutional rule of law:

* FIRST, cancel every unconstitutional executive action, memorandum and order issued by President Obama

* SECOND, begin the process of selecting a replacement for Justice Scalia from one of the 20 judges on my list, who will uphold and defend the Constitution of the United States

* THIRD, cancel all federal funding to Sanctuary Cities

* FOURTH, begin removing the more than 2 million criminal illegal immigrants from the country and cancel visas to foreign countries that won't take them back

* FIFTH, suspend immigration from terror-prone regions where vetting cannot safely occur. All vetting of people coming into our country will be considered extreme vetting.

Next, I will work with Congress to introduce the following broader legislative measures and fight for their passage within the first 100 days of my Administration:

  1. Middle Class Tax Relief And Simplification Act. An economic plan designed to grow the economy 4% per year and create at least 25 million new jobs through massive tax reduction and simplification, in combination with trade reform, regulatory relief, and lifting the restrictions on American energy. The largest tax reductions are for the middle class. A middle-class family with 2 children will get a 35% tax cut. The current number of brackets will be reduced from 7 to 3, and tax forms will likewise be greatly simplified. The business rate will be lowered from 35 to 15 percent, and the trillions of dollars of American corporate money overseas can now be brought back at a 10 percent rate.
  2. End The Offshoring Act. Establishes tariffs to discourage companies from laying off their workers in order to relocate in other countries and ship their products back to the U.S. tax-free.
  3. American Energy & Infrastructure Act. Leverages public-private partnerships, and private investments through tax incentives, to spur $1 trillion in infrastructure investment over 10 years. It is revenue neutral.
  4. School Choice And Education Opportunity Act. Redirects education dollars to give parents the right to send their kid to the public, private, charter, magnet, religious or home school of their choice. Ends common core, brings education supervision to local communities. It expands vocational and technical education, and make 2 and 4-year college more affordable.
  5. Repeal and Replace Obamacare Act. Fully repeals Obamacare and replaces it with Health Savings Accounts, the ability to purchase health insurance across state lines, and lets states manage Medicaid funds. Reforms will also include cutting the red tape at the FDA: there are over 4,000 drugs awaiting approval, and we especially want to speed the approval of life-saving medications.
  6. Affordable Childcare and Eldercare Act. Allows Americans to deduct childcare and elder care from their taxes, incentivizes employers to provide on-side childcare services, and creates tax-free Dependent Care Savings Accounts for both young and elderly dependents, with matching contributions for low-income families.
  7. End Illegal Immigration Act Fully-funds the construction of a wall on our southern border with the full understanding that the country Mexico will be reimbursing the United States for the full cost of such wall; establishes a 2-year mandatory minimum federal prison sentence for illegally re-entering the U.S. after a previous deportation, and a 5-year mandatory minimum for illegally re-entering for those with felony convictions, multiple misdemeanor convictions or two or more prior deportations; also reforms visa rules to enhance penalties for overstaying and to ensure open jobs are offered to American workers first.
  8. Restoring Community Safety Act. Reduces surging crime, drugs and violence by creating a Task Force On Violent Crime and increasing funding for programs that train and assist local police; increases resources for federal law enforcement agencies and federal prosecutors to dismantle criminal gangs and put violent offenders behind bars.
  9. Restoring National Security Act. Rebuilds our military by eliminating the defense sequester and expanding military investment; provides Veterans with the ability to receive public VA treatment or attend the private doctor of their choice; protects our vital infrastructure from cyber-attack; establishes new screening procedures for immigration to ensure those who are admitted to our country support our people and our values
  10. Clean up Corruption in Washington Act. Enacts new ethics reforms to Drain the Swamp and reduce the corrupting influence of special interests on our politics.
On November 8th, Americans will be voting for this 100-day plan to restore prosperity to our economy, security to our communities, and honesty to our government.

This is my pledge to you.

Here Is What Donald Trump Wants To Do In His First 100 Days
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Trump is yo daddy now.

Ahahaaa....how does that crow taste like?

And how does it feel to be suckered by the mainstream media and their pollsters into believing Hillary was the shoo-in to win?

Lots of people are eating crow today

Nyani Ngabu, you are fired!
 
I have learnt this in USA election.


There is high degree of tranparency and democracy!


I dont think if even 12 hours had elapsed from the time voters had started casting votes...

Cc: - Nyani ngabu- US Baby

-All CCM
- All ukawa

Usicheze na maisha ya kidigitali kabisa
 
Wana JF. Katika mbinu za KIDIPLOMASIA ni VIZURI Tanzania kuwa mstari wa mbel kumtumia MTAWALA mpya wa Marekani pongezi kwa kushika uongozi wa taifa hilo

Hasa tunapotaka kuwa na HISA ya urafiki na taifa lenye nguvu na utajiri na kuwa katika vitabu vizuri vya mtawala kama Marekani.

Serikali ingekuwa imetuma PONGEZI hizo ASUBUHI ya leo na SI KESHO na kumpongeza Trump kama rais wa 45 wa Marekani, na kumwambia Trump.

Serikali ya Magufuli na watu wa Tanzania wanatarajia kuendelea kuwa na UHUSIANO mzuri kati ya Tanzania na watu wa Marekani ambao umekuwapo tangu miaka mingi iliyopita.
Hiyo ingekuwa ni poa sana!
Hata kama ni wikiendi. Serikali hailalagi!!

Na hata kumkaribisha kutembelea nchi yetu yenye mbuga nzuri.Na kuwa ni nchi ya AMANI.
Wana jamvi hiyo si KUJIKOMBA bali ni mbinu za KIDIPLOMASIA tu.

Kadri tunavyojivuta mtawala mpya huangalia ni nchi gani na ni nani na nani WALINIPONGEZA haraka.

Kama taifa tutakuwa tunajijenga.
Hizo ndo mbinu chanya za kutusaidia. Hata kama Afrika haiko sana katika agenda yake. Ama ni vipi wanajamvi?
 
Unataka kituko kipya? unakumbuka ile ngeli ya ugoko aliyomwandikia Trump kumpa pongezi aliposhinda urais na sijui kama alielewa ile lugha
 
Back
Top Bottom