Tracing Macbook apple

Huawezi kutrace computer kwa kutumia mac address, mac address haitoki nje ya router so haiko visible nje ya network uliyoconnect.
Wewe uliyeibiwa si nilishakwambia nenda site ya icloud ufanye trace? Badala yakle umeanzisha thread nyingine.
 
Saa nyingine ni kazi maana saivi hatuangaiki kufungua I cloud kwa apple wireless device ni s/n tu kama umepigwa siku za uson unaweza pata ila kama ni muda sahau labda kama unatumia Mac address kutafuta
 
Huawezi kutrace computer kwa kutumia mac address, mac address haitoki nje ya router so haiko visible nje ya network uliyoconnect.
Wewe uliyeibiwa si nilishakwambia nenda site ya icloud ufanye trace? Badala yakle umeanzisha thread nyingine.
Brother IT ni kubwa mazee. Mimi naweza kuingia kwenye laptop ama computer yako kwa kutumia ip na mac. Japo kutrace siwezi.
 
mkuu utazidi kupoteza mda na kupigwa pesa na wanjanja wa town...sahau iyo pc yako jichange nunua mpya tu
 
Brother IT ni kubwa mazee. Mimi naweza kuingia kwenye laptop ama computer yako kwa kutumia ip na mac. Japo kutrace siwezi.

Wabongo kwa kujifanya wataalamu ni hatari kweli ok IP na mac yangu hizo hapo, nakusubiri uingie kwenye mashine.

ip.JPG
mac.JPG
 
Hello Wajameni,
Kuna kibaka kaniibia Macbook yangu,kama Kuna mtu anaweza kuitrace ikapatikana,basi zawadi nono ipo,watu wa IT wachangamkie ajira hii.Come inbox
Weka zawadi hadharani... kama nono nakurudishia mzigo wako, kwanza siwezi hata jinsi ya kuutumia - kibaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom