Search results

  1. Tegelezeni

    Mwenye uzoefu na huduma za Equity Bank Tanzania

    Naomba mwenye uzoefu kuhusu huduma za Equity Bank Tanzania katika maeneo yafuaayo: 1. Huduma kwa wateja (Customer Care) 2. Huduma ya kuweka na kutoa fedha kwa kutumia Bank Taller 3. Huduma ya ATM 4. Huduma ya Mikopo 5. Huduma ya kufungua akaunti
  2. Tegelezeni

    Nilipoamua kuwa MPAGANI nilikuwa na sababu

    Zamani enzi za ujima kabla ya ujio wa hizi dini za mapokea mababu zetu waliishi kwa amani na upendo huku wakiheshimiana na kuvumiliana. Walikuwa wakiamini kwamba binadamu wote ni sawa na kila mmoja alikuwa akimthamini mwingine siyo kwa kile alicho nacho, bali kama binadamu aliyekamilika...
  3. Tegelezeni

    "Mama yangu yu mgonjwa kweli na anatakiwa kupelekwa INDIA,Je utanisaidiaje?"

    Wanawake bwana, wanashangaza sana. Huyu binti ndio kwanza nimemtongoza na hata hatuja Do, lakini jana ananijia na hiyo kauli. Mtu anajua kabisa nina familia ya mke na watoto na nina majukumu ya kutunza familia halafu ananijia na kunibania pua! eti: "Mama yangu yu mgonjwa kweli na anatakiwa...
  4. Tegelezeni

    Mke wangu kachachamaa anataka tuachane!

    Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari. Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka...
  5. Tegelezeni

    Jinsi Kabinti ka Nyololo Iringa kanavyowamaliza madereva wa malori kwa ajali!

    Mara nyingi kanatega mitego yake hapo Kijiijini Nyololo Iringa kuwavizia madereva wa malori wanaosafiri kati ya Tanzania na nchi za Zambia, Rwanda au Burundi. Ni kabinti kazuri kwa sura na umbo la kuvutia na kanaonekana dhahiri kwamba kana umri wa chini ya miaka 18. Mavazi yake mara zote ni...
  6. Tegelezeni

    Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    Mke wangu amejiunga na VICOBA na pia NGO moja ya mambo ya kuwawezesha wanawake kibisahara. Amekuwa akisafiri mara kwa mara kwenda mikoani kwenye semina za hiyo NGO yao. Nimekuwa nikilalamika sana kuhusu hiyo tabia yake mpaka tukapelekana kwa wazazi na akaahidi hatosafiri tena. Miezi miwili...
  7. Tegelezeni

    Nililazimika kuchukua maamuzi magumu

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 37 na nina mke na watoto watatu sasa. Kikazi mimi ni mtumishi serikalini na mke wangu by Professional ni mpishi na pia anao ujuzi kidogo wa ushonaji. Mke wangu alikuwa na ndoto za kumiliki biashara ya Catering wakati namuoa kwa sababu aliwahi kufanya kazi kwa...
  8. Tegelezeni

    Hivi huyu mwanaume anatumia akili au makamasi kufikiri?

    Ni jirani yangu na wakati nahamia katika nyumba ninayoishi nilimkuta akiwa na mwanamke ambaye nilijua ni mkewe Baadae yule mwanamke akamwambia mke wangu kuwa yule mwanaume anaye mkewe ambaye walioana na kuzaa naye watoto wawili, na walidumu katika ndoa kwa miaka saba na kutengana hivyo akarudi...
  9. Tegelezeni

    Up Date: Jumba la Ukweli linauzwa TABATA KISIWANI bei kuanzia MIL 150

    -Imejengwa katika kiwanja # TB/TK/89 -Iko umbali wa kilomita moja kutoka Mwananchi MCL au SDV-AMMI pia kupitia Tabata Mawenzi, kituo cha Savanna, umbali ni huo huo wa Kilomita moja -Ni nyumba mbili kwa moja, kila upande una vyumba viwili, master, sebule, kitchen, dinning, stoo, choo na bafu...
  10. Tegelezeni

    Jumba la ukweli linauzwa TABATA KISIWANI kwa bei pouwa!

    -Imejengwa katika kiwanja # TB/TK/89 -Iko umbali wa kilomita moja kutoka Mwananchi MCL au SDV-AMMI pia kupitia Tabata Mawenzi, kituo cha Savanna, umbali ni huo huo wa Kilomita moja -Ni nyumba mbili kwa moja, kila upande una vyumba viwili, master, sebule, kitchen, dinning, stoo, choo na bafu na...
  11. Tegelezeni

    Breeding season?

    Bila shaka mtakubaliana na mimi kuwa hali ya hewa kuanzia mwezi wa Mei hadi huu Julai ni muafaka kwa watu kujamiiana na hivyo kuifanya miezi hiyo kuwa kama ndio breading season, especially kwa wakazi wa ukanda huu wa Pwani ikiwemo Dar. Ukipita mahospitalini hivi sasa utakuta idadi ya wanawake...
  12. Tegelezeni

    Hivi ndo vioja vinanavyopatikana kwenye daladala!

    Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za Yesu.." Konda: "Vipi wewe, Yesu bado hajatoa album..." ******************************** Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda tu!?" Konda: "hao wengine wamekalia ndoo?! " ******************************* Abiria: "Embu punguzeni sauti ya...
  13. Tegelezeni

    Mpwa wangu anatafuta mume wa kuzaa naye!

    Ni mtoto wa kaka yangu, na amezaliwa na kukulia Dar, mimi sikuwa karibu naye na ni msiri sana. Nimekuwa nikizungumza naye mara kwa mara lakini sio muwazi na hiyo ilitokana na yeye kujiwekea mipaka. Amesoma hapa nchini na nje ya nchi katika moja ya nchi za Scandinavia na sasa ni mwajiriwa...
  14. Tegelezeni

    Nina maumbile madogo mpaka najishangaa!

    Hata sijui sababu ni nini, maana kama ni kula nakula vizuri tu na mke wangu anajitahidi kunipikia mapochopocho mpaka basi lakini mwili wangu hauridhiki sijui kwanini, yaani nimekuwa na maumbile madogo wala sinenepi kabisaa mpaka ndugu zangu wanahisi kwamba huenda mke wangu hanipi chakula na ndio...
  15. Tegelezeni

    Majina ya miji ya Watani zetu wa Jadi.....................

    Niko huku kikazi na nimebahatika kutembelea miji kadhaa kati ya hiyo hapo chini. Baragoi Bungoma Busia Butere Dadaab Diani Beach Eldoret Embu Garisa Gede Hola Homa Isiolo Kajiado Kakamega · Kakuma-Kakuma is the Swahili word for "nowhere", epitomizing the seclusion of the area. Kapenguria...
  16. Tegelezeni

    Kumbukumbu ya kifo cha Munga Tehenan

    Kwa wadau wote wa FAJI na waliokuwa wapenzi wa Gazeti la JITAMBUE. Mke wa Hayati Munga Tehenan na wana FAJI, watafanya kumbukumbu ya kifo cha MUNGA TEHENAN. Shughuli hiyo itafanyika katika msikiti wa Kimara na sadaka ya chakula itatolewa katika ofisi za Faji Kimara Rombo. Bajeti kwa wageni...
  17. Tegelezeni

    Mazimwi huwauwa waliyoyatengeneza!

    Kama ukichunguza kwa mfuatano, tukio la hivi karibuni la Lulu kuhusishwa na mauaji ya Kanumba, siamini kama hilo linaweza kuzusha mshangao. Binti kama Lulu kwanza amelelewa na malezi ya upande mmoja, yaani kalelewa na mama yake tu……..na wakati bado akihitaji malezi ya karibu kutoka kwa mama...
  18. Tegelezeni

    Hivi nyie wanawake mtaolewa na nani!?

    Kwa mujibu wa Takwimu ya mwaka 2002 Tanzania ina idadi ya watu wapatao Milioni 34, na kwa idadi hiyo, idadi ya wanawake ipo milioni 17 na ile ya wanaume ipo Milioni 16. Mpaka hapo kuna ziada ya idadi ya wanawake inayokadiriwa kufikia milioni 1. Hata hivyo inasemekana hadi kufikia mwaka 2010...
  19. Tegelezeni

    So sad aisee!

    Mganda wange ayagala alina silimu. nageza kumugamba, nayegana. kakti alinachisipi........................Banange!
  20. Tegelezeni

    Nimecheza Filamu na inatoka wiki ijayo

    Wanajamvi wenzangu, katika kupambana na hali ngumu ya maisha, nimejiingiza kwenye fani ya uigizaji, na filamu yangu ya kwanza kushiriki inatoka wiki ijayo, inaitwa In the Line of Death… Katika filamu hiyo nimecheza kama kubwa la maadui na nimeuwa kinyama kama yule mcheza muvi wa Kimarekani...
Back
Top Bottom