Hivi ndo vioja vinanavyopatikana kwenye daladala!

Hivi ndo vioja vinanavyopatikana kwenye daladala!

Tegelezeni

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Posts
268
Reaction score
124
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]



Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za Yesu.."
Konda: "Vipi wewe, Yesu bado hajatoa album..."
********************************


Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda tu!?"
Konda: "hao wengine wamekalia ndoo?! "
*******************************


Abiria: "Embu punguzeni sauti ya redio..."
Konda: "Sheria za nchi tu zinatushinda, tusikilize na zako!? hebu tupunguzie misheria"
*******************************



Mmama: "Bwana ondoa gari joto sana!!"
Konda: "Usituzingue wewe, shuka upande fridge...."
******************************


Konda: "Anti, kuna siti pale nyuma, ingia...."
Anti: "Siwezi kaa siti za nyuma..."
Konda: "Kwenda zako wewe, Kwani za nyuma ziko nje ya gari?!"
********************************


Sister duu: "Konda unanibana bwana..."
Konda: "mbona nguo ulizovaa huzisemi, kama ulitaka kujiachia ungekodi treni peke yako!!!"
*******************************

Sharobaro: "Kuna kiti?! Kama hamna sipandi..."
Konda: "Kama unaogopa kukosa kiti si ungebeba chako!!?"
************************


Endelezeeeni basi...............

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
ngoja hiki kichekesho nimwoneshe mdogo wangu maana nilishakiona humu toka 2010
 
bibi akilia kwa furaha baada ya kupata siti.
abiria : bibi mbona unalia?
bibi: wajukuu zangu, ni cku nyingi zimepita kila nkipanda daladala nakosa siti, camini leo nimepata siti.
abiria: hata hyo siti ulokalia sio ya abiria ni siti ya dereva!!!!!
 
duh! Hapa na chit chat au jokes au vinaendana.?
 
Back
Top Bottom