Jumba la ukweli linauzwa TABATA KISIWANI kwa bei pouwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jumba la ukweli linauzwa TABATA KISIWANI kwa bei pouwa!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Tegelezeni, Oct 28, 2012.

 1. Tegelezeni

  Tegelezeni JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 268
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  -Imejengwa katika kiwanja # TB/TK/89

  -Iko umbali wa kilomita moja kutoka Mwananchi MCL au SDV-AMMI pia kupitia Tabata Mawenzi, kituo cha Savanna, umbali ni huo huo wa Kilomita moja

  -Ni nyumba mbili kwa moja, kila upande una vyumba viwili, master, sebule, kitchen, dinning, stoo, choo na bafu na imezungushiwa ukuta na mageti mawili kwani kila upande unajitegemea

  -iko kwenye mtaa nyuma ya uwanja wa mpira wa TWIGA na unafikika kirahisi

  -Nyumba haijakamilika na bei inaanzia 200M, na inapungua kulingana na maelewano

  Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mzee BEKA kwa simu namba +255 715 263682

  Nimeweka watu wangu...


  SAM_1140.JPG SAM_1141.JPG SAM_1149.JPG SAM_1158.JPG
   

  Attached Files:

 2. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kesho asubuhi ishafika.

  Au kesho tena?
   
 3. next

  next JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  kesho huwa haifiki kaka.
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Subiri kesho tena
   
 5. P

  Positive Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tapeli tu huyu au mtu kati.
  Kesho kesho
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,285
  Trophy Points: 280
  Madalali tunaruhusiwa????
   
 7. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Hatari!
   
 8. brasy coco

  brasy coco JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 1,296
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  unajua watu wanakulupuka kutaja bei uku wakiwa hawajua hivi nyumba ikauzwe milion 200 hilo ghorofa la kariakoo acha uongo bhana
   
 9. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Hv hizo bei mnakurupuka tu na kutaja tu au?
   
 10. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,457
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
   
 11. Tegelezeni

  Tegelezeni JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 268
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya nimeweka picha sasa, kazi kwenu
   
 12. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mzee Ngosha anauza zilizokamilika kwa Tzs 150 million Kinyerezi
   
 13. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kibanda hiki kimekula pesa saaaana ni milioni 40.
   
 14. Root

  Root JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,308
  Likes Received: 13,017
  Trophy Points: 280
  Nani kakudanganya kariakoo nyumba inauzwa mil 200? Hata kiwanja hupati kwa hiyo bei


  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 15. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Wewe ndiyo umekurupuka, ghorofa kkoo liuzwe millioni 200?!!!.....pesa ya nyanya hiyo dogo hata gofu huuziwi 200 kkoo!
   
 16. brasy coco

  brasy coco JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 1,296
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  ww unasingua bhana me nishaingia katika website za mauzo nimeongea na wenye nyumba mbezi beach nyumba ya kisasa ni kubwa ipo karbu na bahari ina swimming pool ina kila kitu katka mahtaj ya sasa na bado ni $450000 sasa itakuwa nyumba ya tabata ww vipindugu
   
 17. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Thats more than half a billion!
   
Loading...