Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE
Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa uchache hizi ni pongezi kwa...
1. Huu Muungano hauna Madhara kama ilivyokuwa Muungano wa UKAWA.
2. Wafuasi wa ACT-walimeguka kutoka CHADEMA 2015, Wengi wao hawatakubali kula matapishi yao kwa sababu tu ZITTO amewasaliti, badala yake watampigia kura Jembe JPM.
3. Wana CUF waliompigia kura Lowassa mwaka 2015, wengi watampigia...
TUSIMWACHE LISU ATUAHIDI YASIYOWEZEKANA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kwenye kampeni za Lisu ana Mambo makubwa mawili anayowaomba watanzania wamchague nayo. Moja ni malalamiko yake ya kupigwa risasi hii Kwake Ni Kama Kete ya kuwaomba watanzania wamuonee huruma aingie Ikulu. Jambo la Pili ni Sera zake...
Amesema:
1. CHADEMA wataisaidia ACT-Wazalendo kushinda Zanzibar
2. Baada kupona akiwa Ubelgiji ametembea sana na kwamba Tanzania ya Magufuli haina rafiki hata mmoja nje eti Mkapa hakuzikwa na mataifa ya nje
3. Wakienguliwa kugombea wataingia barabarani
4. Chadema wameweka wagombea...
Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8.
Hakika nimesikitishwa na kauli ya Lema kuwa angekuwa Serikalini wangeingia dili la siri na...
Hii ilikuwa ni Mwaka 2017.
"Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amekuja juu na kutoa ya moyoni akionekana kutofurahishwa na taarifa iliyosambaa kwenye vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandaoni ikitokea Chama cha demokrasia na maendeleo- CHADEMA"
Kauli za Zitto zilifuatia taarifa...
Hyo sheria ilitungwa mwaka gani? Hao akina Zitto wako bungeni miaka nenda miaka rudi leo ndo wanaiona baadfa ya Magufuli kudhibiti mianya yao ya kutuibia?
Ndiyo wanajua kuna Watanzania Majuha wanawaunga Mkono . Najiuliza hivi hawa Watoto wanaopata ujauzito Mashuleni wameanza kuzuiliwa kurudi awamu hii? Nakumbuka wakati nasoma kuna wanafunzi walikuwa wakipata ujauzito, wanachukuliwa na gari la shule chini ya ulinzi wa Matron wa shule na Polis hadi...
kuna mambo mengine yanakera hasa kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake kama Mwigullu. Hata mimi nasema wanaotetea ujinga huu wa watoto wa kike kupata mimba na kurudi shuleni ni wapumbavu, Tangu enzi za Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne , Mwanafunzi alikuwa akpata ujauzito ni nyumbani moja...
Na David KAFULILA.
Awali sikutaka kuandika chochote kufuatia upotoshaji kuhusu makubaliano ambayo kama Taifa tumepata na tunaendelea kupata faida kubwa kufuatia makubaliano yenye faida za pande mbili kati ya Serikali yetu chini ya Mhe.Rais. Dr John Pombe Magufuli na Kampuni ya Madini ya...
Imeelezwa na mojawapo ya Magazeti makubwa duniani la Financial Times kwamba, mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe, ameiandikia Benki kuu ya dunia barua ya siri, ambayo pamoja na mambo mengine anaiomba Benki hiyo kutoipa Tanzania mkopo wa dola milioni 500 kwa ajili ya kuboresha Elimu nchini...
Nimesoma andiko linalodaiwa kuandikwa na Zitto Kabwe akihoji kama Rais Magufuli amemtumbua Kangi Lugora kwa kusaini Mkataba ambao "haujapita Bungeni," mbona kuna mikataba mingi "haijapota Bungeni" na watu hawajachukuliwa hatua???
Kama kawaida yake Zitto akataja mifano ya yale yale makubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.